Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Last edited by a moderator:
Ha ha hahaha! Nimemtamani huyo samaki lol! Ahsante, wapi kuna hilo pilau la ukweli kesho nijisogezeshe?Karibu pilau la ukweli...
Pilau samaki...!
Hapa madini...Ha ha hahaha! Nimemtamani huyo samaki lol! Ahsante, wapi kuna hilo pilau la ukweli kesho nijisogezeshe?
Ok, thanks! Ntakusubiri lol!Hapa madini...
Kesho ntakupitia tuje kula
Ok, thanks! Ntakusubiri lol!
Mwambie bado nafasi haijapata mzibaji
japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,
utaishia kuguna
???????? Siku hizi nawe umeyajua mapenzi?
shem ndo nini kumshushua my hezbend mbele ya kadamnasi??? kama wataka mwambie na weww akufundishe..... Chezeiya CL wewe!!!!!
pamoja sana mkuu.... ngoja nifanye mchakato!!!
kama ulivosikia, wale kamati ya msuto wataleta mabeseni, we lete kitanda cha mtoto
malavidavi at work
umeona eeeehhhh!!!!
na msisitizo wake ndo huu......
![]()