Dear CharmingLady

Dear CharmingLady

Baba kijacho uko wapi m2 wangu? nina mpango wa kwenda mza hutokaa uamini arifu.
 
Nipo na wife marejesho.. Tunasaidiana kuandaa chakula cha usiku. Happy couple.

Hah hah hah hah haa! Kweli unajipaka damu!!! Nipo na wife hapa, tunapiga ndofu kama kawa!!! Kupika ni kazi ya beki 3! Lol...
 
Last edited by a moderator:
too late! Nimemwambia asitishe uuzaji wa ndovu na zilizopo aniletee bili. Labda akuletee banana! Lol...
Ha ha hahahaha! Filipo una sifa lolest, mie wa kunywa banana mie? Au umenifananisha na Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Jamaaan so beautiful... Nawatamaniajee nyie couple..
 
wanawake bana,yaani unaongea maneno mazito haya huku unajua uko room 8**7 Hyatt regency na desh desh,kha!

chonde chonde Bishanga ujue nakuheshimu sana weee kibabu... kila siku unafatilia ndoa za watu na kutaka kuzivuruga... kama yako imekushinda achana nasi!!!! hapa huwezi kitu weweeeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom