Deadbody is back

Deadbody is back

Baada ya kupotea JF kwa miaka 7 hatimaye nimerudi.

Deadbody is Back
Ila tangu ile vurugu ya 29 October wengi wamepotea. JF ilifungwa na iliporudi kuipata ikawa shida. Ni juzi tu mimi ilikubali. Kibobori Mahoro alipata shida sana kwani JF ni kiburudisho chake hasa baada ya kazi.
 
Mkuu nilikuwa sio active hata hivyo.. but nilikuja mara moja na kupotea.Ukicheki kuanzia 2019 mpaka 2022 nilipotea na baada ya hizi nikapotea kwa miaka mitatu
Upo bhana 😹
2023 ulikuwa mwingi sana..!!
Hebu pitia ujionee.
 
Lazima tuwanyooshw hiki kizazi cha hovyo kilichoJoin Jf juzi kuwa na heshima na wakuu .

Enzi zetu mtu unafungua akaunti unaogopa kuanzisha Uzi hata kumQoute haswa ukiwa ID mpya kutokana na heshima ya Malegend na madini yalikuwa yanashushwa unabaki kuwa mpenzi mtazamaji .

Sasa mtu kafungua akaunti Jf kwa Fujo hajui mitaa vizuri anaanza kutukana wakubwa hovyo
Na wewe unaamini kweli wageni?
Hayo maparody ya wenyeji ndiomana yana guts za kutype chochote na kwa yeyote..!!

Michezo hiyo
 
Jambo jema mkuu,kuwa nje ya mitandao kwa muda..vipi uliwezaje ? Yalikuwa ni maamuzi tu au kuna jambo lilikufanya kuwa nje ya jf kwa muda.

Nmefanikiwa kuwa nje ya whatsapp kwa karibia miezi minne sasa,..target niende mwaka.

Ni simu ya ofisi binafsi tu ndo ina whatsapp kwa ajili ya mawasiliano na wateja..na simu inabaki ofisini.
Mimi WhatsApp pia siipendi ni vile lazima niwepo coz ndio michongo yangu ilipo..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom