Deadbody is back

Deadbody is back

Jambo jema mkuu,kuwa nje ya mitandao kwa muda..vipi uliwezaje ? Yalikuwa ni maamuzi tu au kuna jambo lilikufanya kuwa nje ya jf kwa muda.

Nmefanikiwa kuwa nje ya whatsapp kwa karibia miezi minne sasa,..target niende mwaka.

Ni simu ya ofisi binafsi tu ndo ina whatsapp kwa ajili ya mawasiliano na wateja..na simu inabaki ofisini.
Niwe mkweli ni combination ya yote mawili mazingira yalisababisha hivyo na uamuzi binafsi pia

Ila sometime huwa naamua kutokuwepo mitandaoni kuanzia jioni,na ninachofanya siweki bando kwahiyo mchana natumia wifi ya ofisini halafu nikitoka tu saa kumi na moja nakuwa offline kwa style hiyo huwa natoboa nikijisikia nataka kupunguza destruction
 
Uamuzi mzuri mkuu...maana addiction ya social nerworks now a days ni kubwa mnoo.
 
Umekariri ID yangu mpaka kugundua na Kunote sehemu zote ninazo zungumziwa wakati Mimi hata jina la ID yako silijui ?

Kazi nzuri kijana inabidi nikuajiri uwe secretary wangu kazi yako kuzunguka majukwaa yote kuangalia namna gani nazungumziwa kisa unaSumnarize na kunipa taarifa maana inaonyesha upo vizuri kunoTe matukio yote kuhusu Mimi .

Ukiona mambo ya hovyo dhidi yangu basi jua hiko ni Kikundi cha Mapunga na wanywa Visungura wa Jf kazi yao kujadili watu na kutukana , na Mimi ndio kiboko yao nawapelekea moto vibaya na kuwafuchua ndio maana Wana chuki kubwa sana dhidi yangu
Bottom line : Wewe ni upinde🌈
 
Bottom line : Wewe ni upinde🌈
Ukiwa mjinga kiasi hiki haustahili kujibiwa , ushafilisika hoja na sasa ujinga wako ushadhihirika , haya asante ndugu kizazi Nyabumbu de Scumbabag Dujeumsaengmita
IMG_20220919_065830.jpg
IMG_20220419_163155.jpg

1000027044.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom