Deadbody is back

Deadbody is back

Kitendo cha watu tu, kukumbuka mpaka jina lake kati ya members wengi waliopo Jf hiyo inaonyesha jinsi gani alivyo na impact .

Jaribu wewe Nyangwisi kukaa hata mwezi bila Kuja Jf halafu aunzishe Uzi wa kurudi kama Kuna hata mtu ataye kukumbuka , hivi sasa naKuQuote hata ID yako sijui unaitwa nani Wala haipo kichwani.
Kuna sehemu nyingi umeandikwa kwamba wewe ni upinde.
Hii @ss kissing lazima tu iwe kweli.
 
Mkuu umenikumbusha enzi hizo bado kijana wa makamo.Sahivi sina hizo habari,nilikuwa sehemu napevuka.Now Deadbody amekuwa zaidi kifikra ukilinganisha na wakati ule
Sawa dogo karibu tena Jf.

Bila shaka kama unavyodai umekua tunataraji utatuletea mada zenye mashiko na zenye tija.
 
Lazima tuwanyooshw hiki kizazi cha hovyo kilichoJoin Jf juzi kuwa na heshima na wakuu .

Enzi zetu mtu unafungua akaunti unaogopa kuanzisha Uzi hata kumQoute haswa ukiwa ID mpya kutokana na heshima ya Malegend na madini yalikuwa yanashushwa unabaki kuwa mpenzi mtazamaji .

Sasa mtu kafungua akaunti Jf kwa Fujo hajui mitaa vizuri anaanza kutukana wakubwa hovyo

Fact​

 
Sure mkuu nilikuwa offline muda huu 2018-2026.Ndio leo nimerudi.Hiyo 2023 nilikuja na kutoka ,sikurudi tena.Hivi Joseverest hule jamaa kila thread yeye alikuwa wa kwanza kukoment yupo ?
Walimpiga spana yule dogo.
 
Sema JF mtu anaweza kupotea kulog in kwa acc...but akawa anasoma habari kama guest bila kusign in...au akawa analog in asi like chochote wala kuchangia chochote...na tukajua kuwa huyu member amepotea kumbe anawazoom
Nakubaliana na wewe kabisa,kuna namna mbili anakuja na I'd nyingine na hawa ndio wengi au anapiga kimya na usijue uwepo wake.

All in all yote ni machaguzi ya mtu,ila wasitulee zile sikuwa jf miaka kadhaa huo ni uongo,Mimi tu peke yake nilikaa out of jf for 8 good months
 
Kuna sehemu nyingi umeandikwa kwamba wewe ni upinde.
Hii @ss kissing lazima tu iwe kweli.
Umekariri ID yangu mpaka kugundua na Kunote sehemu zote ninazo zungumziwa wakati Mimi hata jina la ID yako silijui ?

Kazi nzuri kijana inabidi nikuajiri uwe secretary wangu kazi yako kuzunguka majukwaa yote kuangalia namna gani nazungumziwa kisa unaSumnarize na kunipa taarifa maana inaonyesha upo vizuri kunoTe matukio yote kuhusu Mimi .

Ukiona mambo ya hovyo dhidi yangu basi jua hiko ni Kikundi cha Mapunga na wanywa Visungura wa Jf kazi yao kujadili watu na kutukana , na Mimi ndio kiboko yao nawapelekea moto vibaya na kuwafuchua ndio maana Wana chuki kubwa sana dhidi yangu
 
Habari za Akhera huko?
Wewe ni Mtu wa Muhimu sana...hebu tupe ukweli, Je Mungu na Shetani ni kweli wapo na yupi ulikutana naye Laivu....?!!
 
Sema JF mtu anaweza kupotea kulog in kwa acc...but akawa anasoma habari kama guest bila kusign in...au akawa analog in asi like chochote wala kuchangia chochote...na tukajua kuwa huyu member amepotea kumbe anawazoom
Hiyo ni fact kabisa mkuu , Mimi Kuna kipindi , nilipanga nisitumie hii ID nipotee Jf kwa mwezi mzima niwe nasoma habari tu kama guest na nikafanya hivyo
 
Mkuu nilikuwa sio active hata hivyo.. but nilikuja mara moja na kupotea.Ukicheki kuanzia 2019 mpaka 2022 nilipotea na baada ya hizi nikapotea kwa miaka mitatu
Kwani kuna shida mzee mboni unajieleza Sana?kwani umepata tetesi kwamba kutokuwepo kwako humu kwa miaka saba kuna member alilala njaa?
 
Mimi tu peke yake nilikaa out of jf for 8 good months
Jambo jema mkuu,kuwa nje ya mitandao kwa muda..vipi uliwezaje ? Yalikuwa ni maamuzi tu au kuna jambo lilikufanya kuwa nje ya jf kwa muda.

Nmefanikiwa kuwa nje ya whatsapp kwa karibia miezi minne sasa,..target niende mwaka.

Ni simu ya ofisi binafsi tu ndo ina whatsapp kwa ajili ya mawasiliano na wateja..na simu inabaki ofisini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom