Deadbody is back

Deadbody is back

Wewe huoni avatar yako ilivyo?
Kama ina changamoto ya afya ya akili na hizo nywele basi akhaaa swadakta 😹😹
Kwendraa zako,
Kwani dread Zina shida gani? Ww maisha yako tu mtihani🤣
 
Nataka nikuoe vipi sasa kwenu ng’ombe ngapi nilete? 😹
Kabila gani wewe? Ndo milaa zenu zinaruhusu mwanamke kutoa mahali? Alaf Mm ndo nakuoa ww mshamba usipagawe
 
Mimi WhatsApp pia siipendi ni vile lazima niwepo coz ndio michongo yangu ilipo..!!
Sahihi mkuu..ndo maana mimi nina simu mbili..moja ni strictly kwa ajili ya michongo tu...ndo yenye whatsapp na inakaa hapo ofisini. Simu moja ni kwa ajili ya matumizi binafsi..ndo ambayo haina whatsapp ni Jamii forums pekee..
 
Katibu endelea kutafuta hela, kuwa expert haipendezi kabisa 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Aaah mweneliti kuna namna. Ngoja nitaongea na muhasibu, kuna namna mmefanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom