Deadbody is back

Deadbody is back

Legend online?
With zero impact offline.
Nimewapa uzi wa connection ya pesa madogo watano tu ndio wamejitokeza kupambania kombe , hawa madogo wa sasa wape nyuzi za mapenzi na ngono na pombe
 
Mbona 2023 ulikuwepo sanaa
Mimi ndio kwanza naistukia Leo hii ID baada ya kupotea kwa kitambo , naona kama alikuweoo ilikuwa kuchungulia mara moja sio kuwa active kama Zamani.

Nakumbuka enzi hizo alikuwa Moja kati ya member active sana humu jukwaani
 
Sure mkuu nilikuwa offline muda huu 2018-2026.Ndio leo nimerudi.Hiyo 2023 nilikuja na kutoka ,sikurudi tena.Hivi Joseverest hule jamaa kila thread yeye alikuwa wa kwanza kukoment yupo ?
 
Madogo hawana adabu kabisa
Lazima tuwanyooshw hiki kizazi cha hovyo kilichoJoin Jf juzi kuwa na heshima na wakuu .

Enzi zetu mtu unafungua akaunti unaogopa kuanzisha Uzi hata kumQoute haswa ukiwa ID mpya kutokana na heshima ya Malegend na madini yalikuwa yanashushwa unabaki kuwa mpenzi mtazamaji .

Sasa mtu kafungua akaunti Jf kwa Fujo hajui mitaa vizuri anaanza kutukana wakubwa hovyo
 
Sure mkuu nilikuwa offline muda huu 2018-2026.Ndio leo nimerudi.Hiyo 2023 nilikuja na kutoka ,sikurudi tena.Hivi Joseverest hule jamaa kila thread yeye alikuwa wa kwanza kukoment yupo ?
Mkuu ulipatwa na nini ukaamua kupotea JF??
 
Who are you?
Una impact gani?
Kitendo cha watu tu, kukumbuka mpaka jina lake kati ya members wengi waliopo Jf hiyo inaonyesha jinsi gani alivyo na impact .

Jaribu wewe Nyangwisi kukaa hata mwezi bila Kuja Jf halafu aunzishe Uzi wa kurudi kama Kuna hata mtu ataye kukumbuka , hivi sasa naKuQuote hata ID yako sijui unaitwa nani Wala haipo kichwani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom