DC wa Bariadi adaiwa kushinikiza wananchi kupiga kura ya siri kuwataja wachawi na wenye Fisi

Walianza kuuwana kwa mapanga wameanza kukamatwa awe DC ,maana analeta Ramli chonganishi.
 
Asante sana mkuu kwa masahihisho. Naomba moderator ubadilishe na isomeke "mtaa wa Nyangaka"
Moderator

Ni Mkuu wa wilaya wa ajabu sana. Kwa karne hii bado anaamini mambo ya ushirikina. Tunaamini mamlaka za uteuzi zitachukua hatua madhubuti kukomesha tabia hii
Kuhusu masuala ya uchawi hapa Bariadi ni kama Brazili na soka kwa hiyo ukimsema DC kwamba kwa karne hii anazungumzia uchawi kwani wakaazi wa Bariadi wameacha uchawi? Kwenye ngoma za kimila a.k.a Mbina uchawi unafanyika mchana kweupeee bila hata kificho na hao fisi si tu wametamalaki huko vijijini hata hapa mjini kwenye lami wanafanya matukio hawa watu wapo too primitive too crude wapo imersed kwenye uchawi tatizo lenu uchawi ukisemwa mnakuwa wakali sasa endeleeni kutwangana na INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES za African chemistry
 
Hao wanyantuzu ni habari nyingine kwenye sekta hiyo
Walishawahi kukuloga au kukutumia fisi akakuuma au ni mambo ya hear say. Hebu pata tafakari kidogo ujiulize;
1. DC wa bariadi ndo kazi yake aliyotumwa na Mhe. Rais ya kupiga ramli chonganishi za kichawi.
2. Huyo .DC ana darubini ya kuwatambua wachawi?
3. Kama DC wa Bariadi anajua kuwa wananchi wa Bariadi ni wachawi, mbona yeye hawajamloga pamoja na kufanya mambo ya hovyo kama hayo. Mbona hatujawahi kusikia kwenye media kuwa mtoto, mke au ndugu yake DC huyo kauawa na wachawi wa Bariadi

Ungeweka pembeni ushabiki na kubaki kwenye facts.
 
Kama wachawi wanafanya uchawi wao peupe tena mbele ya hadhara, mbona DC huyo huyo hajawakamata hao na badala yake akaenda kulazimisha Innocent citizen kutambua wachawi?. Think about it.

Kumbe mchawi huwa anafanya uchawi wake mbele za halaiki ya watu. Mbona wewe hawajawahi kukuloga au kukutumia fisi akutafune.
Hebu jiweke kwenye position ya wale wananchi waliolazimishwa kupiga kura ya kuwataja wachawi na huyo DC wa Bariadi.

Pili, fikiria madhara yanayoweza kutokea huko mbele kwa kile anachojaribu kukipandikiza huyo mkuu wa Wilaya kwa wananchi ambao kati yao hawana ufahamu mzuri wa dunia ya sasa ilivyo.
 
Mwenyekiti kakosa hekima ya uongozi. Kazi yake ilikuwa kuitisha kikao, wananchi ndio wangejenga hoja kumshawishi DC aachane na mpango huo!
Wewe akikuagiza mwenyeketi wako wa mtaa umuite jilani yako ili ampige, utatekeleza agizo hilo haramu. Mwenyekiti huyo alitumia Hekima kwa kupuuza agizo haramu kama lile. "He protested". Mwenyekiti wa mtaa angekuwa ni Polisi tusingeshangaa maana polisi wetu wamefundishwa kutekeza amri au maagizo ya mkubwa hata kama ni haramu. Mimi nampa Big up huyo Mwenyekiti wa mtaa, taifa linahitaji viongozi wa aina hiyo wanaotekeleza majukumu yao kwa weledi.
 
Mie nashindwa kuelewa kwamba inawezekana 2022 kuwa na Mkuu wa Wllaya kihiyo kiwango hiki!
Ukweli katia aibu huyo DC na kakifedhehesha cheo chake na mamlaka ya uteuzi wake.
Pengine naye aliupata U-DC kwa mambo ya kishirikina, ndiyo maana anaamini mambo ya uchawi na ushirikina.
 
Walishawahi kukuloga au kukutumia fisi akakuuma au ni mambo ya hear say. Hebu pata tafakari kidogo ujiulize;
1. DC wa bariadi ndo kazi yake aliyotumwa na Mhe. Rais ya kupiga ramli chonganishi za kichawi.
2. Huyo .DC ana darubini ya kuwatambua wachawi?
3. Kama DC wa Bariadi anajua kuwa wananchi wa Bariadi ni wachawi, mbona yeye hawajamloga pamoja na kufanya mambo ya hovyo kama hayo. Mbona hatujawahi kusikia kwenye media kuwa mtoto, mke au ndugu yake DC huyo kauawa na wachawi wa Bariadi

Ungeweka pembeni ushabiki na kubaki kwenye facts.
Mimi nipo hapa bariadi nina more than 20 yrs hapa nina 50+ umri ni vile siwezi eleza yote humu lakini matukio ya watu hasa watoto kubebwa na fisi ndo habari ya mjini ndo maana DC akaamua kuingilia kati hivyo kàma wewe unadhani hapa bariadi ni mahala patakatifu na kwamba hawajui uchawi basi we pita kushoto uendelee na safari kwani haitobadirisha chochote.
Kama wachawi wanafanya uchawi wao peupe tena mbele ya hadhara, mbona DC huyo huyo hajawakamata hao na badala yake akaenda kulazimisha Innocent citizen kutambua wachawi?. Think about it.

Kumbe mchawi huwa anafanya uchawi wake mbele za halaiki ya watu. Mbona wewe hawajawahi kukuloga au kukutumia fisi akutafune.
Hebu jiweke kwenye position ya wale wananchi waliolazimishwa kupiga kura ya kuwataja wachawi na huyo DC wa Bariadi.

Pili, fikiria madhara yanayoweza kutokea huko mbele kwa kile anachojaribu kukipandikiza huyo mkuu wa Wilaya kwa wananchi ambao kati yao hawana ufahamu mzuri wa dunia ya sasa ilivyo.
DC hajapandikiza chochote waambie nduguzo waache uchawi mkoa masikini sana huu moja ya nyenzo zinazoongeza umasikini ni uchawi hata kupanda mazao hadi upande na mizizi vinginevyo hupati kitu ninaongea ninaishi hapa, wapo hadi madiwani hawajui hata kusoma lakini ni madiwani kwakuwa ni wachawi wa kutupa, mkoa una waganga wengi kuliko mkoa wowote hapa tz unajua maana yake? Kukataa kwamba bariadi hakuna uchawi ni sawa na kukataa kwamba duniani hakuna bahari kisa hujaiona haisaidii hii jamii imekumbatia uchawi utadhani hewa tunayovuta.

Usichojua ni kuwa mimi ni mwalimu nimekaa vijijini eg Ng'walali, mwagimagi, Gambasingu (nyumbani kwa cheo) kesi nyingi ni wanafunzi kufa vifo vya ghafla mara tunaambiwa na wanafunzi wenzie kuwa wamemwona kwenye nyumba ya fulani mara utasikia kachukuliwa msukule (mutunga) na shangazi yake, nikiwa mwl mkuu wa shule fulani asubuhi fulani zilipigwa kelele kwenda fisi kabeba mwanafunzi nilifuatilia kwa nguvu nilipigwa biti na bibi yake na haikuchukuwa muda nikapoteza mtoto nikawa naambiwa kuwa nikirudia mtoto mwingine atabebwa nikahama bila kupenda usije acha nimwage ushenzi wa kichawi wa huku ukajiona mwehu humj ndani.
 
Huyo DC ni mtu wa wapi? Maana anaweza akajikuta yupo juu ya mti
Dkt. Charles Mhina (Sina uhakika kwa jina) ila kwenye orodha ya walioteuliwa kuwa Ma-DC yeye alipangiwa Bariadi. Sina uhakika kama bado ndo DC wa Bariadi. Kwa hilo jina la Mhina atakuwa mtu wa Tanga kama sikosei Lushoto. Walioko Bariadi watujuze jina la huyo mkuu wa Wilaya
 
Mimi nipo hapa bariadi nina more than 20 yrs hapa nina 50+ umri ni vile siwezi eleza yote humu lakini matukio ya watu hasa watoto kubebwa na fisi ndo habari ya mjini ndo maana DC akaamua kuingilia kati hivyo kàma wewe unadhani hapa bariadi ni mahala patakatifu na kwamba hawajui uchawi basi we pita kushoto uendelee na safari kwani haitobadirisha chochote.

DC hajapandikiza chochote waambie nduguzo waache uchawi mkoa masikini sana huu moja ya nyenzo zinazoongeza umasikini ni uchawi hata kupanda mazao hadi upande na mizizi vinginevyo hupati kitu ninaongea ninaishi hapa, wapo hadi madiwani hawajui hata kusoma lakini ni madiwani kwakuwa ni wachawi wa kutupa, mkoa una waganga wengi kuliko mkoa wowote hapa tz unajua maana yake? Kukataa kwamba bariadi hakuna uchawi ni sawa na kukataa kwamba duniani hakuna bahari kisa hujaiona haisaidii hii jamii imekumbatia uchawi utadhani hewa tunayovuta.

Usichojua ni kuwa mimi ni mwalimu nimekaa vijijini eg Ng'walali, mwagimagi, Gambasingu (nyumbani kwa cheo) kesi nyingi ni wanafunzi kufa vifo vya ghafla mara tunaambiwa na wanafunzi wenzie kuwa wamemwona kwenye nyumba ya fulani mara utasikia kachukuliwa msukule (mutunga) na shangazi yake, nikiwa mwl mkuu wa shule fulani asubuhi fulani zilipigwa kelele kwenda fisi kabeba mwanafunzi nilifuatilia kwa nguvu nilipigwa biti na bibi yake na haikuchukuwa muda nikapoteza mtoto nikawa naambiwa kuwa nikirudia mtoto mwingine atabebwa nikahama bila kupenda usije acha nimwage ushenzi wa kichawi wa huku ukajiona mwehu humj ndani.
Kuna mambo hapa nimebaini kutoka kwako;
1. Wewe ni mtu unayeamini mambo ya kishirikina na uchawi, ndiyo maana unaamini watoto wanakufa kwa kurogwa. Kama mtoto kapata malaria kali unampeleka kwa mganga wa kienyeji badala ya Hospitali unategemea nini.
2. Elimu uliyopata haijakusaidia. nilitegemea mwalimu uwe ndo kioo cha jamii na kuielimisha jamii unayokuzunguka
3. kama wewe una zaidi ya miaka 20 huko Bariadi, kwa nini wewe hawajakuloga au hata mke wako na watoto wako hawajauawa na hao wachawi. Maana kama ungekuwa umefanyiwa mambo hayo ungeomba uhamisho siku nyingi
4. kwa kuwa wewe ni mwalimu, tena unayefundisha huko vijijini bila shaka na wewe unalima mazao na unapanda mbegu na kuweka hiyo mizizi uliyoisema ili upate mazao zaidi. kama unafanya hivo basi bado hujaelimika.
 
Wewe akikuagiza mwenyeketi wako wa mtaa umuite jilani yako ili ampige, utatekeleza agizo hilo haramu. Mwenyekiti huyo alitumia Hekima kwa kupuuza agizo haramu kama lile. "He protested". Mwenyekiti wa mtaa angekuwa ni Polisi tusingeshangaa maana polisi wetu wamefundishwa kutekeza amri au maagizo ya mkubwa hata kama ni haramu. Mimi nampa Big up huyo Mwenyekiti wa mtaa, taifa linahitaji viongozi wa aina hiyo wanaotekeleza majukumu yao kwa weledi.
Mwenyekiti aliagizwa kuitisha kikao.Period! Hayo mengine unayaongeza wewe. Sio kazi ya mwenyekiti wa mtaa kuhoji sababu za DC kuitisha kikao. Huyo ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama katika wilaya. Mwenyekiti angepingwa na wananchi kutegemeana na uwasilishaji wake katika kikao, sio mwenyekiti agome kuitisha kikao kama alivyoagizwa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. Mnajitia ujuaji usio ujuaji!
 
Mangaka-nyangaka (mjini bariadi) hata mimi nilishangaa Sana,badala ya kusisitiza wananchi waondoe vichaka na kupuluni miti na kukwangua barabara,anaongea Mambo chonganishi, Sasa watu wakianza kukatwa mapanga kwa sababu ya uchawi sijui tena atasemaje?
Hii mangaka iko sehemu gani hasa,, au baryati ime undergo evolution nini?,
Huo mtaa umetokea wapi na umeanza lini?
 
Back
Top Bottom