DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

Mkuu wa mkoa Arusha ni mtu poa sana kama DC anatafuta bifu na RC wake itakula kwake huyu jamaa yupo vizuri nadhani anataka kudandia basi la Ikarus atadondoka yeye
 
Unamaanisha nini hapo kwenye white.....oooh...red!
Mshirika wa Riz1! Fuatili anzia kuteuliwa hadi kuja kutumbuliwa na JK na kurudishwa week ya mwisho hadi sasa!!! Alikuwa uvccm wa Arusha!!
 
Mtoa post nadhani anatumiwa na Lema kumchafua DC ama kutaka kuwachonganisha DC na RC kwa maana hakuna kitu kama hicho hapa arusha.
 
Huyo Gambo sifa zake zitamtokea puani muda siyo mrefu
yaani Arusha wana matatizo sana na ni wanafiki
vijiwe vya machalii vimezidi mnaacha kufanya ya maana mnaaza kuwafuatilia watendaji ambao hawako UKAWA
Jafu aliutatua mgogoro wa Gambo na Lema kasema kafanyeni kazi
Mulongo walimpakazia kwa Kikwete.
Lini amani itarudi ni mpaka mtakapoacha midomo
Nane nane ina siku 8 leo kukosa tu nusu saa wanahalmashauri imekuwa nongwa mpaka JF
 
Wakimaliza kuhujumiana watuletee majibu ya mgogoro wa viwanja vilivyopo eneo la mtaa wa mlimani kata ya muriet arsh,mana wananchi tuko njiabpanda hatujui tumuamini nan
 
Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.

Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Daaaaah kumbe ni kweli jamaa alikuwa anafanya makusudi akijua wazi aanapandishwa cheo
 
Done deal :Mrisho Gambo is the new Arusha RC
 
utabiri wako umetimia kumbe majigambo yake alikuwa anajuwa ameenda kufanya nini Arusha kumuondoa Mkuu wa mkoa aingiaye kwa upanga naye atatoka kwa upanga bado ni mdogo sana kuanza kufanya fitina za kisiasa yatakuja kumpata tena mabaya Zaidi ya huyo mkuu wa mkoa
 
Niumbuke nini? Kwa maana kilichotokea ni raisi kulizishwa na kasi ya Gambo sasa wewe ulitaka uongo wa team lema uonekane ni ukweli? Sasa kaaeni mguu sawa kichaa kapewa rungu ukibaka wenu pale halimashauri ndo mwisho tafuteni kazi nyingine.

Hii ni Arusha,ataondoka mwenyewe kama alivyokuja
 
Back
Top Bottom