DC hana uwezo wa kubania posho za vikao...acheni mentality za kifukara,hivi posho ya laki na nusu kwa vikao vya mara kadhaa kwa miezi kadhaa nayo ni ajabu?
Ndio anawadanganya kuwa kaja kupambana na Chadema Arusha?Anawekwa katikati huyo,hachukui muda...Alizoea kuwatisha Uvinza,kwamba wengi wa wakazi kule "wakimbizi",ukimkosoa kidogo anakuita ofisini akiwa na Afisa Uhamiaji anaanza kuhoji Uraia
Huyu dogo na kijiwe chake pale cha kahawa kwa wale wazee wa kirangi wanamvutia kasi,anafika pale anaanza kupandikiza chuki na uhasama...Nyendo zake za kujenga chuki kwa jamii ya Arusha kwa manufaa ya kisiasa tunazifuatilia.Arusha damu ilishamwagika sana sbb ya watu wa aina ya Mrisho Gambo...Tunaomba aache mji utulie,tumezika sana wahanga wa siasa za chuki hapa Arusha inatosha...