Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Naona kuna watu wamechoka kuishi uraianiHivi kumbe chato ni eneo la adhabu kwa watumishi?
Naona kuna watu wamechoka kuishi uraianiHivi kumbe chato ni eneo la adhabu kwa watumishi?
Nawe ni wakujipendekeza kama huamin pita hivi hujalazimishwa kuamin, ndio maana nasikia harufu mbaya kumbe gamba lishaingia humu.Uchonganishi huu, lete Audio uliomrecod kuweka ushaid zaidi zaid itakua majungu
Tabia kama za mbunge wa ulangaHuyu DC yuko kama shog* anatavitabia vya kishenzi sana wacha wamalizane CHADEMA pigeni Mzigo
Tutawapoteza sana vijana kitabia kwa miaka hii 5Mwenye sifa ya umbeaumbea na unafiki ndiye mwenye sifa ya kuwa mteule wa Baba Jesca.
Jaribu kuwa mbea na mnafiki uone kama hujaukwaa u DC
Wewe ni mnafiki kupitilizaKatika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa
Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.
Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.
Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Kivipi mkuu? Funguka kidogo mkuuNaona kuna watu wamechoka kuishi uraiani
Kwani lema ndiyo aliye wataka watumishi wa halmashauri kwenye mkutano wa huyo dc wako? Ebu punguza akili za ki lumumbaHizi ni miongoni mwa siasa za maji taka ambazo 100%zinaratibiwa na lema ushahidi wa hili upo wazi I! Msome lema alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi
Lema amedai kuwa kitendo cha DC kuandika barua Tamisemi na kutoa nakala Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuchunguza ongezeko la posho za madiwani kutoka Sh100,000 hadi Sh120,000 zilizopitishwa na kupata baraka za Ofisi ya Katibu Tawala, kinaonesha anafanya siasa zisizo na tija.
Pia alimtuhumu kuingilia utaratibu wa vibanda vya wafanyabiashara kupitia madalali jambo linalopingwa na baraza la madiwani linaloongozwa na Chadema.
Hata hivyo Gambo alisema yeye ni kiongozi mkuu wa wilaya na vyombo vyote viko chini yake na anawajibika kuingilia kati pale anapoona kuna changamoto zinazohitaji kupatiwa ufumbuzi.
Alisema hatasita kuchukua hatua zinapaswa kwani ameaminiwa na Rais, ndio maana ameendelea na wadhifa huo na haitaji kujifunza ukuu wa wilaya kwani amekuwa kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitan
Na hayo mazishi watakuwa wao tu sie wengine tupo kibaruani kutafuta ngawila za kununulia sukari kwa sh 4000Acha wafu wazikane wao kwa wao ndio shida ya vyeo ya kujipendekeza na kufanya kazi bila ya kufuata utaratibu wa kisheria za mipaka ya uongozi, mwishowe unakuja kutolewa kwa aibu wa kujipendekeza ila jamaa asipojiekebisha ipo cku atapotezwa
Nasikia ni mpwa wakeKosa ni kumrudisha Arusha alikokulia na kuzoea mazingira!! Alikuwa uvinza huko hakukuwa na shida!!! Mtoto wa JK huyo!!
Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa
Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.
Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.
Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Adhibitiwe vibaya sana ili asijedhalilisha mtendaji msomi kama alivyofanya korogwe .Huyu dogo Gambo analipuka kama moto wa mabua.... Mwisho wake ushawadia manake kila mahali sasa tumeshaanza kumdhibiti
Wee mnyiamba ulikuwa arusha lini? Hamtaweza ht makonda mlisema ivyoivyo mnadhani mkitia uchonganishi mtafanikiwa. Hivi leo si ni siku yenu ya kushikishwa ukuta?Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa