DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

Huyu dogo Gambo analipuka kama moto wa mabua.... Mwisho wake ushawadia manake kila mahali sasa tumeshaanza kumdhibiti
..mwisho wake umeuona? usiyempenda kaja!![emoji2] ..endelea sasa kumzibidi! hahahaaa ukawa mnatia huruma jamani.
 
Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa

Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.

Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.

Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC
Alishindwa kutunza siri
 
Aiseeee.

Yaani kimetokea kilichosemwa. ...

Sasa asiyependwa, kaletwa. .Ngoja tuone hii movie itakapoishia
 
Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi rasmi wa siku ya nane nane ambako ilitegemewa watumishi wa halimashauri kuhudhuria sherehe hizo ambazo mgeni Rasmi ni Mkuu wa mkoa

Katika banda la halimashauri ya jiji la Arusha hakukuwa na mtendaji hata mmoja baada ya kuitwa kwenye kikao kingine na mkuu w wilaya ya Arusha bwana Gambo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha. Haikuweza kufahamika mara moja sababu ya mkuu wa wilaya kumtoroka bosi wake na kuitisha kikao kisicho na tija wakati akijua kuwa sherehe za nane nane ni za muhimu zaidi.

Baadhi ya watumishi walioenda kwenye kikao cha DC wamekerwa na tabia ya DC kujisifu kuwa yeye ndie mteule sahihi wa Rais na kuwa siku si nyingi atapandishwa cheo kuwa RC hivyo watumishi wote wamsikilize yeye vinginevyo atawahamishia Tandahimba au Chato.

Kitendo cha leo ni mwendelezo wa mgogoro wa chini kwa chini unaondelea kati ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa unaosababishwa na tabia ya DC kumuhujumu waziwazi RC na wakati mwingine kuongea maneno ya kashfa dhidi ya RC

Kama ni kweli, basi ni tatizo
 
Natabiri pia Makonda atapigwa chini muda sio mrefu,naiona nafasi yake ikichukuliwa na Ali hapi
 
Duniani kuna watu waongo kama jambo hulijui c unyamaze tu kuliko kulopoka. Chadomo kweli ni noma
 
Hila mkuu Wa mikoa ni mchapa kazi kuliko huyo mkuu Wa wilaya mkuu w mkoa anakubalika na wananchi sana anajituma kuwatumikia wananchi bila sifa wala kujisifu
Sasa yametimia.inalipa huoni,husikii?
Mi mtazamo wangu kuhusu huyu Dc natamani sana nione mwisho wake,maana anajiona sana kama yeye ndiyo yeye! Acha kwanza watafunane wao kwa wao!!
 
Vyombo vetu vya habari TZ ni dhaifu, wangelikuwa wanajaribu basi wangefanya japo exclusive interview na jamaa wa tiGO kanda ya Ziwa aliyeukataa uDC ni wazi ingetusaidia kujua nani waelewa na wasioishi kinafiki nchi hii.

Wote wawili kutoka tigo mmoja amekataa ukuu wa wilaya Na mwingine amekataa ukurugenzi sengerema
 
Back
Top Bottom