Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Habari wanaJF,
Naona juhudi za kukanusha zinaendelea leo ameibuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni
DC Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu
Amedai kuwa Serikali ya Tanzania haina Askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa.
Chanzo: Dar Mpya