DC Kigamboni: Serikali ya Tanzania haina askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa Lissu

Kumbe wenye akili timamu tupo wengi bado,kwamba watolewe walinzi wote halafu utumie risasi 30+ uishie kumpiga mtu miguu.Acheni utani hakuna Mungu mbele ya mtutu hata wangezitupa kwa mikono tu risasi 30+ mngeshazika
 
Mungu si athumani

Ccm lazima mtajane mliompiga risasi lissu

Sent using Sukhoi Su-57
 
Tanzania watu wenye akili nyingi ..hawataki mambo ya siasa...ndio maana mabashite wanatuongoza
 
Hata siye tumesema hayo tunapuuzwa, ile ilikuwa inside jo, washusika wanajulikana sababu ya sifa zao za tamaa ya madaraka, ila vidole vinyaooshwa kwa dola?!
 
Askari waliopigana vita na Idd Amin ndo hawa hawa? Au na wewe ni shoga wa Dc Kigamboni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa hoja acha matusi; utapimwa humu JF kwa posts zako na usidhani kwa kutumia avatar ya Bila Bila huwezi kufahamika na ukashughulikiwa kwa matusi yako kama wenzako huko Segerea! Chunga sana. Njoo na hoja ndugu siyo matusi.Unaweza kupata shida sana!
 
Shida nini hii serikali yetu kwani imekosa wasemaji? Yani kwa sasa ukitaka ujulikane taja jina la lisu. Wameanza makada wamechemsha waliobaki hawakuridhika wakaja viongozi waandamizi wa serikali bado waliobaki hawakuridhika na maelezo wamekuja wanaojiita wasomi bado majibu hayakutosheleza, naona rais tff nae kaingilia kati kuokoa jahazi lakini wapi.
Jana tumemsikia waziri mwenye dhamana na ile wizara lakini wapi leo DC na kaleta mchanganuo wa kwa kile anachokielewa tumemsikia. Ushauri tu ebu serikali hii habari ya lissu kuwe na mtu maalum wa kuizungumzia naona hii ni kazi ya doctor abas hawa wengine uelewa wao ni mdogo wanaharibu tu. Kuna usemi use nao miruzi mingi inampoteza mbwa'
Labda kama haina shughuli muhimu za kufanya Serikali inaweza kuanza kuzungumzia hoja ya Lissu! Sidhani kama inao muda huo wa kuanza kujibu "maneno" ya Lissu. Haya ni maneno tu, hakuna hoja hapa!
 
Hoja ina mantiki,mtu " profesheno" angepiga risasi mbili au tatu tu.sasa inahisiwa humu kama ni serikali imehusika means ni maofisa usalama au askari kwa namna yeyote( kwa mujibu wa mashabiki wa hili sakata humu) sasa mtu gani mwenye mafunzo aliyeiva apige risasi 30 halafu akose target! Tufikiri nje ya boksi kidogo.huyo kapigwa na wavuta bangi wenzake wa chadema huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliwaondoa walinzi?
Nani aliondoa cctv camera?
Nani alizuia riport ya bunge isisomwe bungeni?
 
Back
Top Bottom