Mungu aliondoa mkono wake juu ya Idd amini akaruhusu achalazwe kutokana na kilio cha damu za waganda zilizomwagwa na Idd amin.Anaye bisha akamuu,uze NDULI IDD AMIN anawafahamu sana askari wetu na namna walivyo mfanyia kitu mbaya.
Watanyamazaje wakati Mhusika Mkuu ktk hii movie anataabika na kufadhaika?? Wapambe wake wanahaha kumtia moyo.Huu sio utaratibu wa uongozi. Kila kiongozi akijisikia kutamka anatamka tu!
Kwanini serikali nzima ipelekwe puta na mtu mmoja as if hakuna utaratibu?
Mnampaisha TL bila kujijua wenyewe? Waheshimiwa ni bora mkae kimya, mwacheni atapike nyongo muda ukifika atanyamaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri Mh DCHabari wanaJF,
Naona juhudi za kukanusha zinaendelea leo ameibuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni
DC Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu
Amedai kuwa Serikali ya Tanzania haina Askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa.
Chanzo: Dar Mpya
Huyu DC ni mchagga wa wapi?!!Habari wanaJF,
Naona juhudi za kukanusha zinaendelea leo ameibuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni
DC Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu
Amedai kuwa Serikali ya Tanzania haina Askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa.
Chanzo: Dar Mpya
Habari wanaJF,

Mkuu, unaonekana kama mtu wa heshima hivi, hata comments zako nyingi huwa naona kama vile unazitoa kiutani fulani hivi kiasi kwamba huwa siamini kwamba una maanisha. Lakini jinsi unavyozidi kuendelea naanza kuona kama ndivyo akili yako ilivyo. Wakati mwingine pita tu usome ili ufiche kidogo.amesema ukweli na ukweli ni mchungu sana naona mnavyotoka povu hapa.
Wanaanza kunyemelea u-RC!Mwehu mwengine huyo.
Kwa maelezo hayo ningekuwa na mamlaka ningemfukuza kazi. Chizi huyu.