Itakua mita sio yako hiyohuyo msomaji wa mita hasomi vizuri manake mita yangu sshv inasoma 5540 wao wameleta bili inasema kutoka 5446 mpk 5496 nimetumia unit 50 yani wanakisia tu hiyo hotel tu nadhani hawatumii Lita 1666!!
Kabisa kabisa tatizo limesha kuwa kubwa saaaana, nashangaa Dawasa wapo kimya na ukiwapigia simu wanasema ombeni mungu kuna ukame Ruvu pamekauka, lakini cha kushangaza maeneo mengine maji yapo.Dawasa kuna maeneo mmekata maji wiki ya pili Sasa na hamtoi taarifa mfano kijitonyama ally maua, mikocheni B, mnazi Mmoja watu tunahangaika dumu limefikia kuuzwa elfu Moja
Yani kwakweli hii kitu siielewi imekaaje...Yani ni matesoKabisa kabisa tatizo limesha kuwa kubwa saaaana, nashangaa Dawasa wapo kimya na ukiwapigia simu wanasema ombeni mungu kuna ukame Ruvu pamekauka, lakini cha kushangaza maeneo mengine maji yapo.
Na bei za maji ya chumvi juu boza lita elfu 5000 ni sh 60,000/= na dumu sasa 1000/= hadi 1500/=
Na wapo kimyaaaaaa nimeulizia sio muda wamesema tunashugulikia yaani majibu yanakatisha tamaa.
Hali sio nzuri kabisa , killa kitu tabu mafuta juu maji hakuna na majibu hovyo.
Watu wa JIJINI poleni naona ni shidamaji kiwalani imekuwaje watu wanatumimia maji ya mashimo machafu tulijua tumeshatoka huko mnaturudisha huko .sasa wiki ya 3 hakuna maji wapemba nao walishaacha kuuza maji.hali ni mbaya na inatisha .hamtoi taarifa kama kuna shida gani plz kabla yakuandamana kwenda kwa Awesso tunaomba tujue shida nini
Queen jirani njoo uchote kwetu sinza PalestinaHiv dawasco sie wakaz wa sinza D tumewakosea nini.. maji wiki ya tatu hakuna, tukiwapigia hamtupi majibu ya kueleweka...achen ukiritimba token huko mlikojichimbia nje mtatue kero za wananchi