dawasco naona mmesikia kilio chetu karibuni kiwalaniheri hata mliyounganishiwa huduma mm nipo kiwalani maji dawasco nayasikia tu sijui yanafananaje
Mpaka watumbuloHawa dawasco wapo nyuma sana
Mimi nimeunganishiwa maji tokea mwezi mei mbaka leo tar 28,8 ,2018 sijamuona msoma mita , wala kutumiwa sms yeyote ile
Sielewi tatizo ni nini au niendelee tu kula shushu mbaka hapo watakapo hamua kuja wenyewe
Mimi nadhani ili shirika linapigwa sana na vishoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana Dawasco nao wamezidi kubambika bill ndio maana watu wanafaulisha maji. Hii michezo watu wengi waliokatiwa maji au wanaokuwa na matumizi makubwa huwa wanaifanya. Mbezi appartments ziko nyingi mkuu. Utakuwa uko jirani sana na Babu Rich baharia wa siku nyingi.Habari za kazi mimi naitwa justine nakaa mbezi beach karibu na mbezi apartments,kuna jirani yangu anaitwa mziray ukifika mbezi apartments kona ya kwanza kulia nyumba ya tatu haina geti kulia anawaibia maji usiku kwa kukata mabomba na kukinga maji na kutulelea adha ya kutuharibia ukuta,kila siku tunajitahidi kutengeneza mabomba lakini ikifika usiku uwa anayakata maji kwa msaada nipigieni nitawaelekeza ili muweze komesha kadhia hii ukifika tangi bovu katikati ya nbc bank na oilcom shell kuna barabara ya ntukamazina rd