Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,146
- 6,052
Sikia, Mbowe si mjinga....anaweza akawa na list ya watu wake anaowahusisha na hizi biashara akawa kaweka ndani ya hivyo vitu vilivyokamatwa ili kuficha siri yake.
Unaficha list kwenye hati ya Muungano sio ? Hii ilitolewa Bungeni wakati wa Bunge la Katiba .....Acheni porojo banaSikia, Mbowe si mjinga....anaweza akawa na list ya watu wake anaowahusisha na hizi biashara akawa kaweka ndani ya hivyo vitu vilivyokamatwa ili kuficha siri yake.
acha kupanic wwWewe ni mnafiki mkubwa!
Huu niuongo wawazi mbowe hajakamatwa mbowe alienda mwenyewe polisi na wala hakuna taarifa Za mbowe kupekuliwa nyumban kwake.huu niuchochezi.Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Unaficha list kwenye hati ya Muungano sio ? Hii ilitolewa Bungeni wakati wa Bunge la Katiba .....Acheni porojo bana
Mkuu hivi hivyo vilivyoandikwa kwenye hiyo hati ndiyo madawa yenyewe yaliyopatikana nyumbani kwake?Nina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa
Kwani kakamatwa tena?Kifupi pamoja na kujificha ,yupo custody kwa sasa,uwe mpole kijana ,tusubiri taarfa ya jeshi la polisi,over!
Unatakiwa kumaanisha kwamba Jinsi CHADEMA Wanavyonyoosha, kuoshwa na kutendwa ni kwasababu walishawahi kuosha na kutenda na waoIt is ok, but it is a matter of time kumbuka mtenda hutendewa au mwosha huoshwa. Ni bora kuishi kwa usawa na haki kuliko kwa nguvu ya kulazimisha kuabudiwa kwa kuogopwa.
Sikia, Mbowe si mjinga....anaweza akawa na list ya watu wake anaowahusisha na hizi biashara akawa kaweka ndani ya hivyo vitu vilivyokamatwa ili kuficha siri yake.
Viwanda vya kuzalisha visasi.
Makonda ndio kandika hapaMuulize Makonda
Makonda ndio kandika hapa
We na ile habari ya uwongo uliyoileta ili kumchonganisha JPM na Rajab Luhwavi umeisahau?Nina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa
Kuhwavi ndio yule aliyeiba pesa za kampeni lumumba na kuondoka na fuko la sarandusi cctv zinamuonaa?We mbwiga kweli na ile habari ya uwongo uliyoileta ili kumchonganisha JPM na Rajab Luhwavi umeisahau?
Kwa Mbowe wamekwaa kisiki cha mpingo , mtu yeyote ambaye si creative na anasubiri kutumwa hata na mtu kama Makonda , hatomuweza Mbowe milele .Awe makini polisi wasijemuwekea kitu!Polisi sio wa kuwaamini