Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Maamuzi yakichukuliwa kwa kufuata misingi ya sheria pasipo uchama, udugu, na mambo mengine yanayo mnyima mtu hakiyake yatakuwa Maamuzi sahihi na maamuzi muhimu kwa watanzania ktk kesi za madawa yakulevya
 
kinachonishangaza ni polis kukagua nyumba ya mbowe! Kweli Mbowe ni kiraza wa kiwango hicho!!!! hatakama angekuwa anahusika na dawa za kurevya tangu alipoyajwa, bado dawa hizo kazirundika nyumbani kwake tu!!!!
hii ni ile ya marekani kwa sadam hussein na mabom ya nyukria!!!!!
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA.

View attachment 472616

=====
UPDATES:

Apekuliwa nyumbani, arejeshwa Central...


Aachiwa:
mahakama c imewakataza
 
Sijui hata alikuwa anaogopa nini.Kama Mwenyekiti anaogopa polisi hivi kiasi cha kufikia kuwapeleka mahakamani wasimkamate,huo ukombozi anaohubiri ni ndoto tu
 
kinachonishangaza ni polis kukagua nyumba ya mbowe! Kweli Mbowe ni kiraza wa kiwango hicho!!!! hatakama angekuwa anahusika na dawa za kurevya tangu alipoyajwa, bado dawa hizo kazirundika nyumbani kwake tu!!!!
hii ni ile ya marekani kwa sadam hussein na mabom ya nyukria!!!!!
Mkuu ukiweka dawa za kulevya kwako halafu ukaondoa,bado kuna vitu haviondoki,zile sio nyanya
 
Haya unayoyasema (prejudice)
ndio yanafanya watu wasiwe na imani na Kamada Sirro na timu yake kwamba kweli Mbowe anatafutwa kwa ajili ya madawa ya kulevya

Mkuu;
Mbona wanichongea?? Kwa lipi nililosema jipya hapo?? Yaan waona kuwa Kamanda atajitutumua hivyo bure?? Sitaki kuamini
 
Ila wapinz.... Sjaona ni yupi tumpe nchi had mjipange ndo Mola atawahurumia tofauti nahapo ili kuchukua nchi basi muwe kama aseno kuiba kombe
 
Tumempekua mtuhumiwa na tumekuta hana chochote tulicho kihisi

Sisi tuna kufahamu zaidi ya wewe unavyo jifahamu tuna ushahidi wako miaka 10
 
Sijui hata alikuwa anaogopa nini.Kama Mwenyekiti anaogopa polisi hivi kiasi cha kufikia kuwapeleka mahakamani wasimkamate,huo ukombozi anaohubiri ni ndoto tu

Soma historia ya Tanganyika uje utueleze,
hayati baba wa Taifa Mwl JK Nyerere alikamatwa na kupelekwa mahakamani
na wakoloni mara ngapi hadi Tanganyika ilipopata uhuru?
 
We fuata taratibu na sheria zilizopo tuone kama utaonewa. Usipofanya hivyo lazima uonewe tu. Hamna namna


Wew unaijua Congo au unaisikia?

Jaribu siku moja kusafiri kwa gari kutoka mashariki mwa Congo mpaka Kinshasa ndo utajua kuongea sio kutenda

Na hali hii ya Congo ilianza kwa kila mmoja kutenda anavyoona yeye inafaa. Akitaka kufisadi sawa, akitaka kuiba sawa, akitaka kubwia ngada poa. Lakini mwisho wa siku ni nchi isiyotawalika. Lazima tutii sheria
Sheria zipi unazozungumzia wewe ndo hizi hizi zinazovunjwa kila kukicha na wenye mamlaka? Huwezi kufundisha utii wakati wewe mwenyewe si mtiifu kwa unachokifundisha.
 
Back
Top Bottom