Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Orodha ya vitu walivyokamata polisi nyumbani kwa Freeman Mbowe na vimeorodheshwa kwenye fomu nao.DCEA 003 inayoitwa 'Hati ya Ukamataji' iliyotolewa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa:

(1) Hati moja ya CHADEMA CHASO kwenda kwa Mwenyekiti ya tarehe 16/7/2013

(2) Picha mbali mbali nane za matukio ya uhalifu - picha za wahalifu wanaoharibu mali

(3) Hati moja ya Rasimu ya Kwanza ya CHADEMA kuhusu uundwaji wa Red Brigade

(4) Hati moja ya kurasa 13 inayoongelea mambo ya muungano.

Hivi nyaraka hizi zina mahusiano gani na madawa ya kulevya?? Anyway with some knowledge plz??
 
Pale ambapo watawala wamechoka kutawala na watawaliwa nao wanalazimishwa kujikomboa ... yangu macho...

Nimekushitukia kuwa wewe ni muuza unga wa kuoza....tafadhali kajisalimishe sasa hivi pale central.....nakupa lisaa limoja uwe umeshafika huko.nyie ndio wauwaji wa taifa la kesho halafu hamtaki kukosolewa.
 
Hivi ni visasi hamna kingine.

Nafikiri kuna umuhimu wa wapinzani kuifanyia kazi hoja ya Zitto ya kumvua fulani madaraka. Haya mambo sasa hayavumiliki na huu ni unyanyasaji na udhalilishaji mkubwa.
 
Mkuu tulia uongezee nyama huu uzi kidogo.

Picha mbalimbali za matukio ya uhalifu yaliyofanywa na nani?

Kama ikiwezekana, tuma na hizo picha tuzione.
 
M/kitu wako lini aliwahi kutii hiyo sheria? angeanza kutoa mifano yeye kama figure ya hekaya yenu huko. Aache mambo ya bongo movie

Bongo movie anazo yule aliyenunua vyeti vyake vya shule.Halafu mwambie atii wito wa Mahakama hana namna
 
Mkuu tulia uongezee nyama huu uzi kidogo.

Picha mbalimbali za matukio ya uhalifu yaliyofanywa na nani?

Kama ikiwezekana, tuma na hizo picha tuzione.
Ni picha ambazo aliyekuwa Mbunge wa Meatu Meshack Opurukwa aliwahi kuzitoa Bungeni kama ushahidi akionyesha jinsi askari wa Wanyamapori walivyokuwa wakiharibu mali za wanakijiji huko Meatu wakati wa Operesheni Tokomeza
 
Orodha ya vitu walivyokamata polisi nyumbani kwa Freeman Mbowe na vimeorodheshwa kwenye fomu nao.DCEA 003 inayoitwa 'Hati ya Ukamataji' iliyotolewa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa:

(1) Hati moja ya CHADEMA CHASO kwenda kwa Mwenyekiti ya tarehe 16/7/2013

(2) Picha mbali mbali nane za matukio ya uhalifu - picha za wahalifu wanaoharibu mali

(3) Hati moja ya Rasimu ya Kwanza ya CHADEMA kuhusu uundwaji wa Red Brigade

(4) Hati moja ya kurasa 13 inayoongelea mambo ya muungano.

Hivi nyaraka hizi zina mahusiano gani na madawa ya kulevya?? Anyway with some knowledge plz??

Uaskari ni fani za kitaalamu kama zilivyo fani zingine.waachie wenye fani zao
 
Hizo picha mbali mbali za uhalifu ina maana hao wahalifu walikuwa wanapiga self wakati wanafanya matukio yao ya kihalifu?

Mbona hii imekuwa ngumu ngumeza.

Tumejaribu kumpigia simu akawa HAPATIKANI baadae AKAZIMA simu kabisa - Kamanda Siro. sijui unaelewa nini hapo?
 
Back
Top Bottom