Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA.

View attachment 472616

=====
UPDATES:

Apekuliwa nyumbani, arejeshwa Central...


Aachiwa:
Taja hicho chanzo
 
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Kwani waliokuwa Wanajua Kuwa ANAUMWA ni Mbowe pekee yake? HEBU tumia Akili hata za kuazima au Ubongo ulitolewa wote
20210716_160047.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Would i satisfy your soul by writing as follow; 'Mbowe is an expert in cat and mouse game with the government and if not careful, he will get caught up in a trap that he has set and shall have no one to blame but himself'

True
 
Back
Top Bottom