Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Sikia, Mbowe si mjinga....anaweza akawa na list ya watu wake anaowahusisha na hizi biashara akawa kaweka ndani ya hivyo vitu vilivyokamatwa ili kuficha siri yake.
 
Uonevu huu mpaka lini huyu mungu anaeombwa nakilla MTU afanye miujiza take maana uonevu na visasi vya watawala vimezidi
 
Sikia, Mbowe si mjinga....anaweza akawa na list ya watu wake anaowahusisha na hizi biashara akawa kaweka ndani ya hivyo vitu vilivyokamatwa ili kuficha siri yake.
Unaficha list kwenye hati ya Muungano sio ? Hii ilitolewa Bungeni wakati wa Bunge la Katiba .....Acheni porojo bana
 
Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Huu niuongo wawazi mbowe hajakamatwa mbowe alienda mwenyewe polisi na wala hakuna taarifa Za mbowe kupekuliwa nyumban kwake.huu niuchochezi.
 
Taarifa za kukamatwa mmeleta sawa! Sasa za kuachiwa bila hata ya kupelekwa mahakamani mbona kimya??? Nauliza tuu..
 
Kifupi pamoja na kujificha ,yupo custody kwa sasa,uwe mpole kijana ,tusubiri taarfa ya jeshi la polisi,over!
 
It is ok, but it is a matter of time kumbuka mtenda hutendewa au mwosha huoshwa. Ni bora kuishi kwa usawa na haki kuliko kwa nguvu ya kulazimisha kuabudiwa kwa kuogopwa.
Unatakiwa kumaanisha kwamba Jinsi CHADEMA Wanavyonyoosha, kuoshwa na kutendwa ni kwasababu walishawahi kuosha na kutenda na wao
 
Sikia, Mbowe si mjinga....anaweza akawa na list ya watu wake anaowahusisha na hizi biashara akawa kaweka ndani ya hivyo vitu vilivyokamatwa ili kuficha siri yake.

Hahahaha aibu.Nendeni basi mahakamani kesi inaendelea.Acheni kuropoka kwenye media siyo wote akina Somji Manji
 
HAPA NDIPO NAPATA PICHA HILI ZOEZI LIMEFELI NA LA MWENDOKASI
Mtu anatuhumiwa na madawa ya kulevya halafu mnamuachia. Ina kuja kweli?
Tuna kazi sana chini ya huu utawala dhalimu wa ccm.
BILA KUPATA UHURU KUTOKA KWA WAKOLONI WEUSI TUTAONEWA MPAKA KESHOKUTWA
VIKWAZO VYA MAENDELEO TZ
1. CCM
2. UJINGA
3. UMASKINI
4. MARADHI
 
Back
Top Bottom