Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Kuna watu wanapendelkeza kuwa dawa ya kumaliza ufisadi Tanzania ni nchi hii kutawaliwa kidikteta.
Mimi sijui kama hii ni kweli au la.
Mimi Nadhani ili kuondoa ufisadi watu wenyewe ni lazima wauchukie ufisadi kutoka moyoni na kupambana nao kisheria.
Wewe wasemaje?
Mimi sijui kama hii ni kweli au la.
Mimi Nadhani ili kuondoa ufisadi watu wenyewe ni lazima wauchukie ufisadi kutoka moyoni na kupambana nao kisheria.
Wewe wasemaje?