Dawa ya Ufisadi:Tanzania Itawaliwe Kidikteta?

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Kuna watu wanapendelkeza kuwa dawa ya kumaliza ufisadi Tanzania ni nchi hii kutawaliwa kidikteta.

Mimi sijui kama hii ni kweli au la.

Mimi Nadhani ili kuondoa ufisadi watu wenyewe ni lazima wauchukie ufisadi kutoka moyoni na kupambana nao kisheria.

Wewe wasemaje?
 
Historia ishaonyesha nchi zote zilizotawaliwa na madkteta hazikufanikiwa. So why need one here?? Mifano ni mingi tu, from Idd Amin, Bokassa, Mobutu etc.
 
hahahahaha mnachekesha, watu wengine bwana, eti nchi itawaliwe kidikteta kukomesha mafisadiz.
Hapa sio jeshi wala dikteta. Huyo dikteta wenu anaweza kuwa lunatic kama Capt. Dadis Mousa Camara au Iddi Amin au akawa incompetent kama Gen. Bouzize, Col. Gadafi au akawa mwizi kama Mobutu. Au akawa competent, sawa but supressive kama Kagame.

So, swala ni kuwa na mtu anaeipenda nchi yake basi.
 
Kuna watu wanapendelkeza kuwa dawa ya kumaliza ufisadi Tanzania ni nchi hii kutawaliwa kidikteta.

Mimi sijui kama hii ni kweli au la.

Mimi Nadhani ili kuondoa ufisadi watu wenyewe ni lazima wauchukie ufisadi kutoka moyoni na kupambana nao kisheria.

Wewe wasemaje?

Watu bwana?

Madikteta mbona walikuwepo wengi
1. Milosovick
2. Nguema
3. Mobutu
4. Babangida
5. Sani Abacha
6. Amini

Unajua walichokiacha nyuma? Je, unajua ni kwa kiasi gani walitunza rasilimali za nchi zao? Unajua ni jinsi gani wananchi walivyootaabika wakati wa utawala wao?
 
Kweli kabisa ila tuwe na mtu mcha mungu na awapende wananchi wote bila ubaguzi wa aina yoyote. Huu siyo waraka.
 
hahahahaha mnachekesha, watu wengine bwana, eti nchi itawaliwe kidikteta kukomesha mafisadiz.
Hapa sio jeshi wala dikteta. Huyo dikteta wenu anaweza kuwa lunatic kama Capt. Dadis Mousa Camara au Iddi Amin au akawa incompetent kama Gen. Bouzize, Col. Gadafi au akawa mwizi kama Mobutu. Au akawa competent, sawa but supressive kama Kagame.

So, swala ni kuwa na mtu anaeipenda nchi yake basi.
Uzalendo wa kuipenda nchi ni muhimu kumbe.
 
Watu bwana?

Madikteta mbona walikuwepo wengi
1. Milosovick
2. Nguema
3. Mobutu
4. Babangida
5. Sani Abacha
6. Amini

Unajua walichokiacha nyuma? Je, unajua ni kwa kiasi gani walitunza rasilimali za nchi zao? Unajua ni jinsi gani wananchi walivyootaabika wakati wa utawala wao?
Athari za udikteta ziwe funzo.
 
Geoff,
Dawa ni ipi?
dawa ni kukiondoa hichi kizazi cha ufisadi kilichopo madarakani KAMA KILIVYO.kuingiza system mpya,kutunga sheria mpya (AMBAZO ZITAKUWA VERY HURSH DHIDI YA WIZI/UFISADI NA KUZITEKELEZA),kama serikali za nchi za ASIA vile wanafanya.(china)
 
Udikteta sio tija......kimtazamo tumekuwa na madikteta tokea uhuru lakini bado haijatusaidia! Kikubwa ni institutions zenye mamlaka na uwezo wa kufanya kazi ipasavyo.
 
Inaelekea wenye mawazo hayo wana dosari katika ufahamu wao kuhusu maana ya UFISADI. Ufisadi kwa Kiingereza ni Corruption, ikijumlisha matumizi yote mabaya iwe rasilimali,uongozi nk.
Hili neno lina asili yake,turejee kwenye asili ya neno ili tuipate maana halisi ya UFISADI,NDIPO TUWAJUE MUFSIDUUNA yaani Wanaofanya Ufisadi ni akina nani?
Kwa kifupi, hata UDIKTETA ni aina ya ufisadi kwa maana iliyozoeleka ya UDIKTETA.
Hivyo basi, hatuwezi kuondoa ufisadi kwa kuleta ufisadi mwingine!
Hayo ni maoni yangu, sijui wewe mwenzangu.
 
ok.
Mimi sijui udikteta ni nini kwa definition.
Nisaidieni.
 
Kuna watu wanapendelkeza kuwa dawa ya kumaliza ufisadi Tanzania ni nchi hii kutawaliwa kidikteta.

Mimi sijui kama hii ni kweli au la.

Mimi Nadhani ili kuondoa ufisadi watu wenyewe ni lazima wauchukie ufisadi kutoka moyoni na kupambana nao kisheria.

Wewe wasemaje?

Unaomba ujinga ...nenda kafanye udikteta nyumbani kwako na familia yako uone kama utapata maendeleo

Amani imekuchosha nenda kakae kigali, Sudan uone wananchi wanavyonyanyasika ndio uje uongee upupu wako...

Pathetic eti na wewe ni thinker shame on you
 
Tema mate chini ndugu mwambie mungu akuepushe
manzese utakuwa upiti pale kirahisi unavyopita leo na ac yako
 
mbona tayari tumeshatawaliwa na madikteta! hivi ndo kweli JF tunashindwa kuwang'amua madikteta waliotutawala mpaka leo?, tutafuteni solution nyengine hii ya udikteta tushaipitia na wala haikusaidia. kama tunatafsiri udikteta kwa maana ya chinja chinjana,hapo nadhani ndio bado na naomba Mwenyezi atuepushe na hilo balaa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom