Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Kasie hiyo kufinyiwa kwa ndani, una maanisha nini

Kumbe na wewe hujawahi kufinyiwa.....

Tuache hiyo, kuna kuwekwa nusu mlingoti huku unazungushwa.... Ukikutana na mkufunzi unasahau majina yako ya utoto aaaahahahhahahahaa

Kasie Mahaba Matata.
 
Mhhh!!! Mitego hii
Kumbe na wewe hujawahi kufinyiwa.....

Tuache hiyo, kuna kuwekwa nusu mlingoti huku unazungushwa.... Ukikutana na mkufunzi unasahau majina yako ya utoto aaaahahahhahahahaa

Kasie Mahaba Matata.
 
Unategwa na nini sasa Watu? Na wewe huwa unapata kiu ya sukari japo wewe ndo supplier wake?

Shall we?
Namna ulivyoelezea jinsi ya kulisonga hilo bada (ugali wa muhogo)...namna ya kulibana sufuria motoni lisicheze cheze kwa mafiga...hatari sana...

Kwa utaalamu huo kiu kwa nini isiwepo...
 
Namna ulivyoelezea jinsi ya kulisonga hilo bada (ugali wa muhogo)...namna ya kulibana sufuria motoni lisicheze cheze kwa mafiga...hatari sana...

Kwa utaalamu huo kiu kwa nini isiwepo...

Wuuhuuuuuu waatuuuuu umeniweza hakyanani bin kunikuna aahahahahahahaaa looh!!!

Can we arrange a trip/safari to Lushoto we both drive tunapokezana... Sharti tuu gari iwe manual.... aahahahahaaaa

Ila umenikumbisha mbali..... Kubana sufuria lisicheze kwenye mafiga.... Huku unainama kupuliza kuni moto usizime, unajikuta machozi yanakutoka (unalia bila kupigwa na kamasi tele bila mafua... Aahhahhaaaaaaa) sanaa ya ajabu hii bin mujarabu.

Halafu ugali wenyewe wa bada...... Love it.

Punguza sauti watakuonea wivu Dadii.
 
Inawezekana. Haya mambo hayatabiriki. Unaweza ukajaribu sehemu unakuta hiyo siku dada kala kibuti huko yuko na majonzi. Au yuko katika mood nzuri tu na yupo yupo hana jamaa anaemuelewa, anaona kwanini asijaribu upande wa pili si unajua love can be found in a hopeless place pia.

Sure...!
 
Hata kama ni buku, sitokaa nimhonge mwanamke kamwe ili tu nifahamiane nae au anisikilize. Nitamtafuta au kumuita kwa Adabu, akinisikiliza ni Maamuzi, asipotaka kunisikiliza pia ni Maamuzi.
 
Back
Top Bottom