Why utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe
Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka
Mkuu hii nondo nzitoKuna stages inabidi uchukulie wanaokukataa ndo wanaopata hasara
hutakiwi kuogopa rejection
watu wengi hawajui kuitambua almasi wakiiona
Kilishakutokea kitu ?Mimi napenda hela ila siku zote niko na hofu na namba mpya. Kanuni yangu sina chumba kwa ajili ya watu wapya waliopotea waendako kupitia simu. Dunia ina mengi sana.
HapanaKilishakutokea kitu ?
aseeee niongeze nini tena?Kuna stages inabidi uchukulie wanaokukataa ndo wanaopata hasara
hutakiwi kuogopa rejection
watu wengi hawajui kuitambua almasi wakiiona
Hivi rrondo una nini lakini?Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Haya ni mambo mageni dunia ya jf, kuna mzee (rip) tulikuwa nae kijiweni yeye nilishuhudia akiandika namba kwenye $100Hii ni namna nyingine ya kuingia mbet, wala hazina tofauti. Ila it's possible na inafanyika sana.
Kuna mshakiji alichukua 10k akaandika namba yake na kumpa dada, end of the day alikula mzigo bila kutumia nguvu, just 10k.