Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Kuna jamaa alidondosha simu mbele yangu akiwa anakimbia maeneo ninapoishi. Nikaiokota ile simu nikaifungua nikijaribu kutafuta contact ya karibu nimjulishe anitafute nimrudishie simu yake.

Ile simu ilifungukia whatsapp, mojawapo ya chats ilikuwa na DP ya mtoto mmoja mkali sana, nikajikuta nimefungua kuangalia picha zake nyingine. I was immediately hooked.

Niliichukua namba ile, nikaisave kwenye simu yangu for future use. Sikutaka kuipaparikia na sikutaka kufanya makosa.

Nikaukumbuka uzi wa RRONDO huu. Siku moja nikacheki nikaona DP ya graduation ya chuo, nikachapa muamala wa hela ndogo tu, less than 50k. Nikauacha ukae.

Masaa kadhaa baadae, nikamtext na kujitambulisha na kumfahamisha kuwa nimekosea kutuma pesa kwake. Akaconfirm. Nikamwambia naona umegraduate, congrats. Naomba huo muamala uwe zawadi yako ya graduation, if you are comfortable with it.

The rest is history.
ahahaah

Sent using kyala gwa maka
 
Nilishaga wahi kugegeda mademu wa nne kwa nyakati tofauti

Wawili namba zao nilizichukua kwenye akaunti zao facebook

Na wawili namba zao nilipewa na watu wao wa karibu bila ridhaa yao

Nilikuwa naulizwa hilo swali ila nilikuwa nalijibu kijanja sana na nilijikubali hakika

Ila cha muno uwe na hela/pesa/fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaga wahi kugegeda mademu wa nne kwa nyakati tofauti

Wawili namba zao nilizichukua kwenye akaunti zao facebook

Na wawili namba zao nilipewa na watu wao wa karibu bila ridhaa yao

Nilikuwa naulizwa hilo swali ila nilikuwa nalijibu kijanja sana na nilijikubali hakika

Ila cha muno uwe na hela/pesa/fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa za miamala au?
 
Mke mwema kwanza anasifa hizi.
Hulka nzuri
Hana haraka yakujibu mtu ovyo
Anaheshima na ni anajitambua ni mwema.
Hana papara kwenye maamuzi basi hiyo ndio sifa zake.
Na hana tamaa na hela ambazo sio zake.
Hata kama anashida nazo ila kama unajitambua utamuhudumia ili afurahi..
Wewe una sifa hizo?
 
Hili swali huwa linanikera sana. Kuna pisi moja imetoka kuniuliza hili swali "namba yangu umeitoa wapi?" Imekomaa utafikiri itadhurika ukiwa na hiyo namba
Baadae ndiyo hawa tunawakuta JF au makanisani wanatafuta wanaume wa kuwaoa. Mwanamke akiniuliza swali kama hilo huwa sina mpango naye tena ni kama amenifukuza
Sio swali tu unarahisisha mengi
 
Why utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe

Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka
mwamba upo sahihi
 
Mimi nilimtumia elfu tatu tu nawala hakuchomoa, nikajilia pauchi kiulainiii sana
 
Back
Top Bottom