Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

mkuu hebu tumjaribu my wife nikupe namba umtumie hiyo laki 2. tuone kama atachomoa maana anavyojidai kunipenda....
🤣🤣🤣🤣🤣 kwahio unataka ule hela ya mwanaume mwenzio kwa kumuweka wife wako kama Chambo.
 
Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo

Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Ukiwa muhongaji Sana ukawii kulost. Mabaga Fresh said this in 2000
 
Why utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe

Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka
Kwakweli
 
Hilo swali majibu yake ni rahisi sana! Kuwa mkweli inatosha!

Binafsi hilo swali siliulizagi, ila kama akiamua kusema mwenyewe aseme tuu!
 
Hilo swali majibu yake ni rahisi sana! Kuwa mkweli inatosha!

Binafsi hilo swali siliulizagi, ila kama akiamua kusema mwenyewe aseme tuu!
Wengine wangeiga mfano wako lingekuwa jambo jema
 
Mimi napenda hela ila siku zote niko na hofu na namba mpya. Kanuni yangu sina chumba kwa ajili ya watu wapya waliopotea waendako kupitia simu. Dunia ina mengi sana.
Watu wema pia hupotea...
 
Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo

Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
@PRONDO wajinga ndiyo waliwao papuchi zoote hizi ununue papuchi kwa bei kubwa hivi.
 
Hao wanaume walikuwepo enzi za jk wachache walobaki, wakafa MV ukara mwaka juzi, wachache sana walobaki, wakafa kwenye kuchomoa betri morogoro( hawa wachache wa Moro walikuwa hawachoti mafuta😬 wao walikuwa pembeni wanasikitika yakawakuta) waduchu saaaaana walobaki aiseee sijuhi wako mkoa gani hapa tz? Labda nchi nyingine😯☺

Long live jk.
 
Back
Top Bottom