Hii hapa mwaya CONTROLA..!! 😂 😂 😂siwezi jitoa ufahamu kiasi hicho,kama ni kuku kosa acha nikukose
laki mbili yani mbili yenye sifuri 5 nikutumie tu ?? asee bora nijitoe ufahamu nilipe DSTV premium
Maana na ufujaji wangu wote nimekwamia kwenye Compact Plus.
ila eti mimi na akili zangu hizi 20 kamili nishike simu nianze kubet kutumia jitu lingine,aaaah mweeeeeeeeeeee
Kuna jamaa alidondosha simu mbele yangu akiwa anakimbia maeneo ninapoishi. Nikaiokota ile simu nikaifungua nikijaribu kutafuta contact ya karibu nimjulishe anitafute nimrudishie simu yake.
Ile simu ilifungukia whatsapp, mojawapo ya chats ilikuwa na DP ya mtoto mmoja mkali sana, nikajikuta nimefungua kuangalia picha zake nyingine. I was immediately hooked.
Niliichukua namba ile, nikaisave kwenye simu yangu for future use. Sikutaka kuipaparikia na sikutaka kufanya makosa.
Nikaukumbuka uzi wa RRONDO huu. Siku moja nikacheki nikaona DP ya graduation ya chuo, nikachapa muamala wa hela ndogo tu, less than 50k. Nikauacha ukae.
Masaa kadhaa baadae, nikamtext na kujitambulisha na kumfahamisha kuwa nimekosea kutuma pesa kwake. Akaconfirm. Nikamwambia naona umegraduate, congrats. Naomba huo muamala uwe zawadi yako ya graduation, if you are comfortable with it.
The rest is history.
Labda itokee usimpende tu ila ukija ku fall mbeleni atakusumbua sana na mizinga kama Kim Jon Un anavyomtesa Trump 🤣🤣🤣95% success rate
Improvise, adapt, overcomeWahuni sio watu wazuri.
hahhahh h😀😀😀laki mbili yote hiyo, mrushie vocha ya buku, mwambie akate jero, akurudishie jero, done.
Yeah, that's the mottoImprovise, adapt, overcome

iyo laki 2 Mkuu, vifaranga vya kuku wa nyama kila kifaranga 1500 vifaranga 20 inakua 1500x30=45000,pesa inayobaki nanunua chakula cha kuku na kujenga banda ujasiliamali unaanzia hapo Boss tusishindane na papuchi siku ya kufa nyani hali wali mkavu
👊👊👊👊Kuna stages inabidi uchukulie wanaokukataa ndo wanaopata hasara
hutakiwi kuogopa rejection
watu wengi hawajui kuitambua almasi wakiiona
Umesahau sifa moja..,Mke mwema kwanza anasifa hizi.
Hulka nzuri
Hana haraka yakujibu mtu ovyo
Anaheshima na ni anajitambua ni mwema.
Hana papara kwenye maamuzi basi hiyo ndio sifa zake.
Na hana tamaa na hela ambazo sio zake.
Hata kama anashida nazo ila kama unajitambua utamuhudumia ili afurahi..

Umesahau sifa moja..,
Mke mwema anatoka kwa Bwana
Basi sawa