Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Mkuu unachoma ramani ya vita, mbinu kama hizi au zile za kutuma maua ofisini sio za kuziweka wazi hivi...
Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo

Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
 
Halafu kwanini upitie struggle zote hizo mpaka una risk hela zako kisa demu!?

Na demu mwenyewe unakuta hana kingine cha kukupa Zaidi ya UCHI. I am too reluctant now days to go through all those struggles just because of PUSSY

Aiseee
 
Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo

Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Safi kaka
 
upoteze 100k, pia unaingia risk ya kupoteza 200k yote sababu anaweza kuihamisha muda huo huo, kwa ajili ya kukwepa kuulizwa namba yangu umeitoa wapi? ok, tu assume umefanikiwa kama ulivyosema anaweza akakukataa na akakupiga block na tayari umepoteza 100k.
Anapigaje Block?
 
Seems a lot of work...mambo ya kupata namba via middleman niliacha nilipokua 2nd yr...

If i want her # ,i ask her..period.
 
Seems a lot of work...mambo ya kupata namba via middleman niliacha nilipokua 2nd yr...

If i want her # ,i ask her..period.
Wenzio wakati tuko 2nd year hata simu hazikuwepo na hatukushindwa kupata wanawake.
 
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Umempigia mtu namba haijui atajuaje wewe pangu pakavu au don? Au miito ya simu inaonesha uwezo wa watu. Btw 200k ni mfano sio sheria kwamba ndio kiasi lazima utume. Jamaa wa Forex wanasema invest what you can afford to lose...im saying the same. Btw mtu huyu unakuwa ushamfahamu kidogo hadi umepewa namba yake na mtu anajua. Sizungumzii unatuma tu namba yoyote hata mtu hujawahi kumuona.
Hahahahha.. "Invest what you can afford to lose" umenikumbushaa vingi sana bro!

Ngoja hata huu ushauri niwaachie ma risk takers.
 
Waswahili wanasema penye udhia penyeza rupia. Kwa watu ambao hatuna muda wa kujibu maswali tunatanguliza muamala ili kuepuka usumbufu
 
Back
Top Bottom