Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Siku ya juma 3 kuna missed call iliingia kwenye simu yangu majira ya sa 3 asubuhi
Nikaituma sms akajibu ni mimi mwanafunzi nilikua nataka kujua kama upo hai Corona umesalimika. Swali la kwanza namba yangu umeitoa wapi akajibu kwani ni vibaya kua na namba yako.
Niliokota ofisini iliandikwa kwenye karatasi nikaichukua, sikuamuamini kesho yake kanitafuta tena nikambana aseme akajibu vile, binafsi sina kabisa mazoea na wanafunzi nikiwa shuleni, aliko mtandao unasumbua. Leo kasijili halotel na kanitumia sms mchana nilijua hata tuma.
Swali hadi sasa hivi najiuliza huyu mwanafunzi wa form 3 namba yangu kaitoa wapi? Sijawai andika namba yangu kokote pale ofisini. Kaacha najiuliza hadi Leo huyu mtoto namba kaitoa wapi, nimeona niliete kwenu najua kuna wazazi humu pia. Au mme shawano experience hali hii, nisipojibu sms mara ooh au mkeo kakukataza kujibu sms? Dah