HAhaha nahisi Pascal nawe uko mbioni kwenda kwa chama makini, hatutaki mtu aitwe karai lenye saruji iliyogandianahongera zake ni haki yake, nasisitiza, kwa msisitizo, huyu mtu asibezwe, ana hoja za msingi, asikilizwe na hoja zake zifanyiwe kazi!.
Hili nimelizungumza hapa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Paskali
Bora ulivyo amua kuja ccm hongera kwako kafulila ulipoteza Muda kwenda chademaKafulila hana ela hata ya chakula thts why mwanamme asiejiamini na ni mnafiki na mzandiki
Kafulila ni Popo? Na Nyalandu utamuitaje?Kafulila ni ^Popo^
najua kabisa yuko CCM kwa kiakili.
ila Moyo wake uko Upinzani .
Ndo maana kavaa kofia kichwani
Kumbe Jaji Werema aliyajua na kumbatiza jina stahili. Tumbili atafanya vioja vyovyote bila aibu mradi ayapate mahidi popote yalipo. Kama shamba ni la mwanamke, yuko tayari kupambana naye kwa dharau!
Ndugu yangu Pascal Mayalla tuseme mara ngapi hawa watu watusikie??tulisema wakati bwana yule anahamia CHADEMA, lakini tukasema tena @Dr.Slaa alipong'atuka bado tulisema bado tukawakumbusha tena walipoanza kugawa vyeo vikubwa kwa wahamiaji na wengine hata kuwakabidhi vijiti,wengine kualikwa chumbani nyumba kubwa kwenye vikao vya kamati kuu lakini mabwana wale hawakutaka kusikia.hongera zake ni haki yake, nasisitiza, kwa msisitizo, huyu mtu asibezwe, ana hoja za msingi, asikilizwe na hoja zake zifanyiwe kazi!.
Hili nimelizungumza hapa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Paskali
Jessica akati anaolewa akajuwa anaolewa na Kamanda kumbe looh.Alikua akidengua ili abembelezwe ndio ataje,
Sasa Kishoa adengue, yeye nae adengue kweli??
Uchawi wa kurithi ndo husababisha roho hizo.Chadema Nafikiri hili limewauma kuliko hata Tundu alivyochapwa shaba Hahaha ndio hivyo saivi ni kada sasa hamna jinsi Inapendeza