ccm utaipenda tu hata Kafulila alisema hivi hivi
hongera zake ni haki yake, nasisitiza, kwa msisitizo, huyu mtu asibezwe, ana hoja za msingi, asikilizwe na hoja zake zifanyiwe kazi!.
Hili nimelizungumza hapa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Paskali
Hhhhh picha limeanza hhhh
Hhhhh picha limeanza hhhh
Woooote waliitwa "vichwa vingine", lakini sasa wamerudi nyumba yao ya asili. Tujipe muda.Utasubiri sana....Zitto wengi wenu hammuelewi....ni mtu makini kweli kweli.
Hawezi hamia kwa watu wasiotumia ubongo kufikiri
mafisadi gani?hahahahaha kakataa unafiki wa kuyasafisha mafisadi
Kafulila akubali kuwa London ccm itamtumia ila jalala atakakotupwa hataaminiDavid Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Kwahyo mchezaji anaposajiliwa hcho kitendo n biashara ya utumwa?utakuta n mtu mzma lkn unalopoka tu kwan ukiulzwa amenunuliwa kwa sh,ngap utaweza kujibu?kwan ww upo ndan ya mawazo yake kafulila?we ulijua aliwaza nn/kakerwa na nn hko mpaka akahama?....ushaur wang n kwamba pigana katka kuwataftia wanao lishe acha ushabiki ambao hata haukusaidiiDavid Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Ile hoja yake ya ESCROW iliisha ishaje vile? au wamekuwa watakatifu baada ya kutubu??? NJAA KITU KIBAYA SANASafi sana.
Naona kajitambua na kaamua kuacha kuwa karai.
Rudi kwanza Shule,Kwahyo mchezaji anaposajiliwa hcho kitendo n biashara ya utumwa?utakuta n mtu mzma lkn unalopoka tu kwan ukiulzwa amenunuliwa kwa sh,ngap utaweza kujibu?kwan ww upo ndan ya mawazo yake kafulila?we ulijua aliwaza nn/kakerwa na nn hko mpaka akahama?....ushaur wang n kwamba pigana katka kuwataftia wanao lishe acha ushabiki ambao hata haukusaidii
Nadhani hata hao waliompokea hawana Imani nae kama atabaki kwao kwa Muda mrefu ndio maana wamempa kofia tu.Mbona kahama kichwa peke yake au ni macho yangu?
angalia,kesho akiona mkate mikononi mwa mwingine
atahamia huko.wangempa na shati kabisa,hili la kofia tu,mmmh!
Chama kitakufa maana wengi wa wanachama wamemfuata yeye si chamaBado Zitto Kabwe tu.....