Spot on. Tumbo limeishinda Aibu..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.
Kabisa Mkuu na wala hampendezi mtu.Njaa mbaya sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mda sio mrefu atapewa keki yake wakuu
Sure! only if you can verify what the other side has to offer.mkuu huyu mtu lazima abezwe
unajua kama navyojua ccm inatakiwa iondoke madarakani sababu they have nothing new to offer
Kujiunga CCM kwa kipindi hiki ni kupongeza lissu kupigwa risasi na ben kupote
Wasaliti wawili wakiapishana!Wasaliti wawili waliosaliti nafsi zao,dhamira zao na watanzania kwa ajili ya tumbo zao.Halafu ni vijana wadogo tu ambao vijana wenzao waliweka matumaini yao makubwa kwao kuwa wamepata viongozi wa mfano mzuri wa kuigwa kumbe ni makahaba tu wa kisiasa!David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Mkuu umesahau kumalizia "Shame on them"Wasaliti wawili wakiapishana!Wasaliti wawili waliosaliti nafsi zao,dhamira zao na watanzania kwa ajili ya tumbo zao.Halafu ni vijana wadogo tu ambao vijana wenzao waliweka matumaini yao makubwa kwao kuwa wamepata viongozi wa mfano mzuri wa kuigwa kumbe ni makahaba tu wa kisiasa!
Hana hoja zenye msingi wowote , watuhumiwa wote wa Escrow bado anao huko ccm , akiwemo JK aliyewadanganya wakazi wa DSM kwamba hela zile si za umma .hongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
Sasa akae kusubiri wilaya atakayo pangiwa mana ashateuliwa alikuwa anasubiriwa tu apokelewe rasmi!Wasaliti wawili wakiapishana!Wasaliti wawili waliosaliti nafsi zao,dhamira zao na watanzania kwa ajili ya tumbo zao.Halafu ni vijana wadogo tu ambao vijana wenzao waliweka matumaini yao makubwa kwao kuwa wamepata viongozi wa mfano mzuri wa kuigwa kumbe ni makahaba tu wa kisiasa!
BIG SHAME ON THEM!!!!!!!!!!!!!Mkuu umesahau kumalizia "Shame on them"
Hii inaweza kusababisha talaka ndani ya nyumba ya David? Refer statemwnts za mkewehongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali