David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

Kutakuwa na "ideological vacuum" na "leadership crisis" kubwa huko Chadema hivi sasa. Ndiyo sababu ya huyu na wenzake kuhama.
 
Ni wakati muafaka wa kutadhimini majina ya watu wanayopewa na wenzao kama nickname.
Watu hutafakari kabla ya kutoa jina usikute mwenzetu alishaona kuna kitu kinachofanana na tumbili
 
Kumbe Jaji Werema aliyajua na kumbatiza jina stahili. Tumbili atafanya vioja vyovyote bila aibu mradi ayapate mahidi popote yalipo. Kama shamba ni la mwanamke, yuko tayari kupambana naye kwa dharau!
Mkuu tumbili ni jadi yake KUPARAMIA kila aina ya mti..ila kweli ule msemo unaosema ADUI YAKO MUOMBEE NJAA SASA NIMEAMINI.
 
Chadema Nafikiri hili limewauma kuliko hata Tundu alivyochapwa shaba Hahaha ndio hivyo saivi ni kada sasa hamna jinsi Inapendeza
 
Amchukue na mtoto wa jiunge wote amwache mkewe na people's yake
 
David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".

Viva Tanzania ya Viwanda
tumbili kaingia shamba la jirani,wakati mwenye shamba yuko macho
 
..sasa alikuwa anaogopa nini kusema anahamia CCM?

..hata Lau Masha naye ilikuwa hivyohivyo.

..mtu anaulizwa zaidi ya mara 5 kama anahamia ccm lakini anakwepa kujibu.

..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.
Mbona nyarandu hakutaja ..mkuu relax kidogo anajitambua huyo...
 
..sasa alikuwa anaogopa nini kusema anahamia CCM?

..hata Lau Masha naye ilikuwa hivyohivyo.

..mtu anaulizwa zaidi ya mara 5 kama anahamia ccm lakini anakwepa kujibu.

..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.
kwenda ccm lazima uone aibu kutamka mbele ya kamera,ni sawa kufumaniwa na mchepuka halafu uambiwe ni ndoa hapohapo na mke wako kipenzi.mioyo ya watu yako upinzani ila njaa tu
 
Back
Top Bottom