Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,615
- 24,261
Ha ha ha haifaiChumbani shuka ccm mito chadema
Mhhh itafaa kweli!
Ha ha ha haifaiChumbani shuka ccm mito chadema
Mhhh itafaa kweli!
Mange ni chizi kasema kama kweli aombe talakaWanatuzuga tu hawana lolote...mchana watakandiana usiku watahesabu kila mtu kaleta ngapi
Sijui hata wataishije!!!!! Hivi hawatazinguana, maana MKE kasema jamaa kafanya maamuzi yasio sahihi n hajamsikiliza?Tulijua tu ndiyo kinachofuata....mke Chadema...mume CCM ha ha ha ha maisha haya....haya yetu macho.
Anaanzaje hata mimi nisingeomba, auchune tu kimya asikilizie maamuzi ya chademaMange ni chizi kasema kama kweli aombe talaka
Paskali, hoja zipi? Kwamba upinzani haujishugulishi tena na ajenda ya UFISADI? kashfa zote kubwa za ufisadi ziliibuliwa na upinzani. Serikali ya CCM ambayo ndiyo ilipaswa na inapaswa kuchukua hatua za kisheria haikufanya lo lote. Upinzani hauna dola. Kazi yake ni kuionesha serikali wapi pamekaa visivyo - wameendelea kufanya hivyo hadi leo (zingatia hoja za Lissu hadi wakaamua kummiminia risasi, Zitto - nk). Wamefanya kazi kubwa akiwemo na yeye. Skendo ya ESCROW aliyoshikia bango, wahusika wakuu bado wamo CCM alikokimbilia na walindwa kwa nguvu zote - wengine wamerejesha mgao kusikohusika, wengine wenyeviti wa Bunge, wengine wanaendelea kila kuchao kumimina sifa za unafiki kwa mtukufu ili asiwachukulie hatua (ambazo nazo ni za kinafki na kibaguzi, not sustainable), nk. Labda kama anamaanisha tafsiri ya CCM ya UFISADI ambayo kwao ufisadi = Lowassa, huo ndio mwanzo na mwisho wa 'ufisadi'. Kama angekuwa na nia ya dhati ya kupigana dhidi ya ufisadi angejipambanua kutonunua hiyo dhana ya CCM ambayo ni PROPOGANDA za enzi za Soviet union, yaani Propoganda mfu. Kama Lowassa ni fisadi kwa nini serikali inaojinadi kupigana na ufisadi ikae na Mahakama ya Ufisadi zaidi ya mwaka sasa na isimpeleke mahakamani akajibu mashtaka hayo?hongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
Mkuu usiwaamini wanasiasa huwezi jua wameongea nini wakiwa wawiliSijui hata wataishije!!!!! Hivi hawatazinguana, maana MKE kasema jamaa kafanya maamuzi yasio sahihi n hajamsikiliza?
WanaCHADEMA humu JF tunaanza kuzoea lugha yenu ya kulalamika tu, lakini naamini uongozi wenyewe wa CHADEMA unaumia na kinachoendelea ndani ya chama. Kwa jinsi ya utawala na uongozi wa Rais Magufuli, maumivu ndani ya vyama vya upinzani, yataendelea kama hawatatambua kuwa mchawi wao ni wao wenyewe.David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar...
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Mke kaongea haya Mdomoni tu,Sijui hata wataishije!!!!! Hivi hawatazinguana, maana MKE kasema jamaa kafanya maamuzi yasio sahihi n hajamsikiliza?
Mkuu katika wote waliotajwa hadi kifikia kubeba pesa masandarusi mnaishia kumkamata Ruge na Seth kweli?Yeye amepigana mpaka Seth yupo ndani, na we we pia pigana kwani lazima yeye tu?
Huyo mkewe unayemsifia kafanya nini zaidi tu kupanua miguu kama Mukya?
We we umefanya nini kama sio uwoga na kujificha na id fake kama sisi majoga wengine?
mkuu huyu mtu lazima abezwe
unajua kama navyojua ccm inatakiwa iondoke madarakani sababu they have nothing new to offer
Zitto ni kichwa kingine wewe, kama mlishindwa kumchukua kipindi kile anaondoka chadema sasa hivi ndio mtaweza? Labda kama mnamuonga ile nafasi ya ikuluBado Zitto Kabwe tu.....
Naona zama hizi wakina ngosha mnatamba balaa...hongera zake ni haki yake, nasisitiza, kwa msisitizo, huyu mtu asibezwe, ana hoja za msingi, asikilizwe na hoja zake zifanyiwe kazi!.
Hili nimelizungumza hapa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Paskali
Keki ya wanafiki, wasaliti na wachumia tumbo wa Taifa letu.
Kafulila amesema Magufuli amepambana na ufisadi alafu analaumu Upinzani haupambani na ufisadi sasa watapambanaje wakati amesema Serikali imeshamaliza tatizo? Hana hoja ila ametafuta sababu ya kuhararisha yeye kuhama.hongera zake ni haki yake, nasisitiza, kwa msisitizo, huyu mtu asibezwe, ana hoja za msingi, asikilizwe na hoja zake zifanyiwe kazi!.
Hili nimelizungumza hapa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Paskali
Kajiunga ccm mpya. Ccm ya kisasa. Ccm inayofanya kweli. Kama vile nyalandu alivyojiunga kwenye chama la watuhumiwa. Huku huyu kwenye list ya makonda, Mara yule kwenye list ya mwembeyangaHuyu huyu Kafulila aliyewahi kusababisha baraza la mawaziri likavunjwa na vigogo wengine wakastaafu kwa lazima, Leo anajiunga na ccm?