David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

Pascal na Jerry Muro niliwaamini saana (mzee wa kiti moto) kumbe na nyinyi ni njaa.
Mna chungulia uDC??
Mkuu Mtumishi Wetu, kati ya uhuru zote duniani, yaani freedoms, uhuru wa kufikiri, kuwaza au kudhania, ndio freedom pekee ambayo ndiyo yenye absolute freedom bila mipaka yoyote, freedom nyingine zote zina mipaka. Hivyo hakuna binadamu yoyote anaweza kukuzuia usiwaze unachotaka, hivyo ni haki yako kunifananisha na Jerry na kunidhania nausaka U DC.

Jerry ni CCM, mimi sina chama, kosa langu ni kusema ukweli daima. Laiti ungeifungua hii link na kuisoma ungejiridhisha kama hili ni bandiko la msaka UDC.

Paskali
 
Yaani kuamia ccm ni kufa kisiasa yuko wapi masumbuko lamwai, shibuba, dr alaa, kafulila nyota yake ilikuwa upinzani yaani unarudi kwa waliokupokonya ubunge kisa njaa wakati wananchi walikuamini
Nilipoona mkulu akiwa ziarani Kigoma anamsifia Kafulila kwa saana. Nilijua kinachofuata ni Kafulila kufuata nyuki ale asali !!
Sifa zilikuwa nyingi sana za mkulu, na nasikia mbunge wa huko hayuko vizuri
 
Usiingie kwenye siasa mkuu, Mbaya sana hawa wabunge wetu wakishamaliza ubunge ni kama mashetani wanakuwa maskini sana sijui ni laana ya matambiko na madawa ya kienyeji wanayokunywa kipind cha uchaguz, Huyo ni njaa inamsumbua analishwa na mkewe na sasa mkewe yupo dodoma anashughulikiwa na wanaume

Kafulila ni mtu aliyekuzidi sana, unamchukia kwa kuwa huwezi kumfikia. Yeye ni nembo ya taiga na atabaki hivyo. Utalitaja jina lake pasipo yeye kukufahamu. Alipokanyaga Kafulila utakufa hujawahi kupasogelea. Mambo ambayo Kafulila kalifanyia taiga hili we we huwezi kyfikia hata moja ya kumi yake. Angalau una nafasi ambayo hats Mimi ninayo, tuanze kuwa wakweli kwa nafsi zetu na tuwe wajasiri, angalau tutumie za ukweli na tuwe responsible kwa haya tuyasemayo
 
David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".

Viva Tanzania ya Viwanda
Namsubiri mheshimiwa Magdalena Sakaya, mbunge.
 
Watu wanajitoa unafahamu sijawahi ona.Kafulila,kafulila, kafulila uwe na aibu japo kidogo
 
Attachments

75 BIBLICAL REASONS WHY YOU
SHOULD NOT DRINK ALCOHOL
With Darkgift 1) Genesis 9:20-26 - Noah became drunk;
the result was immorality and family
trouble.
2) Genesis 19:30-38 - Lot was so drunk
he did not know what he was doing; this
led to immorality 3) Leviticus 10:9-11 - God commanded
priests not to drink so that they could tell
the difference between the holy and the
unholy.
4) Numbers 6:3 - The Nazarites were told
to eat or drink nothing from the grape vine.
5) Deuteronomy 21:20 - A drunken son
was stubborn and rebellious.
6) Deuteronomy 29:5-6 - God gave no
grape juice to Israel nor did they have
intoxicating drink in the wilderness. 7) Deuteronomy 32:33 - Intoxicating wine
is like the poison of serpents, the cruel
venom of asps.
8) Judges 13:4, 7, 14 - Samson was to be
a Nazarite for life. His mother was told
not to drink wine or strong drink. 9) 1 Samuel 1:14-15 - Accused, Hannah
said she drank no wine.
10) 1 Samuel 25:32-38 - Nabal died after
a drunken spree.
11) 2 Samuel 11:13 - By getting Uriah
drunk, David hoped to cover his sin. 12) 2 Samuel 13:28-29 - Amnon was
drunk when he was killed.
13) 1 Kings 16:8-10 - The king was
drinking himself into drunkenness when
he was assassinated
14) 1 Kings 20:12-21 - Ben-Hadad and 32 other kings were drinking when they were
attacked and defeated by the Israelites.
15) Esther 1:5-12 - The king gave each
one all the drink he wanted. The king was
intoxicated when he commanded the
queen to come. 16) Psalm 75:8 - The Lord’s anger is
pictured as mixed wine poured out and
drunk by the wicked.
17) Proverbs 4:17 - Alcoholic drink is
called the wine of violence.
18) Proverbs 20:1 - Wine is a mocker, strong drink is raging.
19) Proverbs 23:19-20 - A wise person
will not be among the drinkers of
alcoholic beverages.
20) Proverbs 23:21 - Drunkenness causes
poverty. 21) Proverbs 23:29-30 - Drinking causes
woe, sorrow, fighting, babbling, wounds
without cause and red eyes.
22) Proverbs 23:31 - God instructs not to
look at intoxicating drinks.
23) Proverbs 23:32 - Alcoholic drinks bite like a serpent, sting like an adder.
24) Proverbs 23:33 - Alcohol causes the
drinker to have strange and adulterous
thoughts, produces willfulness, and
prevents reformation.
25) Proverbs 23:34 - Alcohol makes the drinker unstable
26) Proverbs 23:35 - Alcohol makes the
drinker insensitive to pain so he does not
perceive it as a warning. Alcohol is habit
forming.
27) Proverb 31:4-5 - Kings, Princes, and others who rule and judge must not drink
alcohol. Alcohol perverts good judgment.
28) Proverbs 31:6-7 - Strong drink could
be given to those about to perish or
those in pain. Better anesthetics are
available today. 29) Ecclesiastes 2:3 - The king tried
everything, including intoxicating drink, to
see if it satisfied. It did not. (Ecclesiastes
12:8)
30) Ecclesiastes 10:17 - A land is blessed
when its leaders do not drink. 31) Isaiah 5:11-12 - Woe to those who
get up early to drink and stay up late at
night to get drunk.
32) Isaiah 5:22 - Woe to "champion"
drinkers and "experts" at mixing drinks.
33) Isaiah 19:14 - Drunken men stagger in their vomit.
34) Isaiah 22:12-13 - The Israelites
choose to drink; their future looks
hopeless to them.
35) Isaiah 24:9 - Drinkers cannot escape
the consequences when God judges. 36) Isaiah 28:1 - God pronounces woe on
the drunkards of Ephraim.
37) Isaiah 28:3 - Proud drunkards shall be
trodden down.
38) Isaiah 28:7 - Priests and prophets
stagger and reel from beer and wine, err in vision, and stumble in judgment.
39) Isaiah 28:8 - Drinkers’ tables are
covered with vomit and filth.
40) Isaiah 56:9-12 - Drinkers seek their
own gain and expect tomorrow to be just
like today. 41) Jeremiah 35:2-14 - The Rechabites
drank no grape juice or intoxicating wine
and were blessed.
42) Ezekiel 44:21 - Again God instructed
the priests not to drink wine.
43) Daniel 1:5-17 - Daniel refused the king’s intoxicating wine and was blessed
for it along with his abstaining friends.
44) Daniel 5:1 - Belshazzar, ruler of
Babylon; led his people in drinking.
45) Daniel 5:2-3 - The king, along with his
nobles, wives, and concubines, drank from the goblets which had been taken
from God’s temple.
46) Daniel 5:4 - Drinking wine was
combined with praising false gods.
47) Daniel 5:23 - God sent word to
Belshazzar that punishment would be swift for the evil he had committed.
48) Hosea 4:11 - Intoxicating wine takes
away intelligence.
49) Hosea 7:5 - God reproves princes for
drinking.
50) Joel 1:5 - Drunkards awake to see God’s judgment.
51) Joel 3:3 - The enemy is judged for
selling girls for wine.
52) Amos 2:8 - Unrighteous acts of Israel
included the drinking of wine which had
been taken for the payment of fines. 53) Amos 2:12 - Israel is condemned for
forcing Nazarites to drink wine.
54) Micah 2:11 - Israelites are eager to
follow false teachers who prophesy
plenty of intoxicating drinks.
55) Nahum 1:10 - The drunkards of Nineveh will be destroyed by God.
56) Habakkuk 2:5 - A man is betrayed by
wine.
57) Habakkuk 2:15 - Woe to him that
gives his neighbor drink.
58) Habakkuk 2:16 - Drinking leads to shame.
59) Matthew 24:48-51 - A drinking
servant is unprepared for his Lord’s
return.
60) Luke 1:15 - John the Baptist drank
neither grape juice nor wine. 61) Luke 12:45 - Christ warned against
drunkenness.
62) Luke 21:34 - Drunkenness will cause
a person not to be ready for the Lord’s
return.
63) Romans 13:13 - Do not walk in drunkenness or immorality.
64) Romans 14:21 - Do not do anything
that will hurt your testimony as a believer.
65) 1 Corinthians 5:11 - If a Christian
brother is a drinker, do not associate with
him. 66) 1 Corinthians 6:10 - Drunkards will
not inherit the kingdom of God
67) Galatians 5:21 - Acts of the sinful
nature, such as drunkenness, will prohibit
a person from inheriting the kingdom of
God. 68) Ephesians 5:18 - In contrast to being
drunk with wine, the believer is to be
filled with the Spirit.
69) 1 Thessalonians 5:6-7 - Christians
are to be alert and self-controlled,
belonging to the day. Drunkards belong to the night and darkness.
70) 1 Timothy 3:2-3 - Bishops (elders) are
to be temperate, sober, and not near any
wine.
71) 1 Timothy 3:8 - Deacons are to be
worthy of respect and not drinkers. 72) 1 Timothy 3:11 - Deacons’ wives are
to be temperate and sober.
73) Titus 1:7-8 - An overseer is to be
disciplined.
74) Titus 2:2-3 - The older men and older
women of the church are to be temperate and not addicted to wine.
75) 1 Peter 4:3-4 - The past life of
drunkenness and carousing has no place
in the Christian’s life.
NO DRUNKARD SHALL INHERIT THE
KINGDOM OF GOD 1 COR 6,10. God Loves you
 
Mpaka raha mkuu
Ni ajabu sana MTU kuona raha sana, pale balance %checks zinapoonekana kudoofishwa. Eti MTU huyo anajiita mzalendo mpenda maendeleo! Masikini nchi hii. Elimu elimu elimu elimu, ni zaidi ya madarasa na mavyeti. Ole wetu tz!
 
Mpaka raha mkuu
Ni ajabu sana MTU kuona raha sana, pale balance %checks zinapoonekana kudoofishwa. Eti MTU huyo anajiita mzalendo mpenda maendeleo! Masikini nchi hii. Elimu elimu elimu elimu, ni zaidi ya madarasa na mavyeti. Ole wetu tz!
 
David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".

Viva Tanzania ya Viwanda
Je Lowasa, Kingunge,Sumaye walinunuliwa kwa bei gani ?
 
Bravo CCM!! wataendelea kuisoma namba tu, na baado!! Kafulila wakati akiwa upinzani alikua ni mkereketwa wa maonevu na dhulma, na ukereketwa wake aliwahi hadi kuitwa Tumbili, JPM aliliona hilo na ndio maana alipopita mitaa ile alimfuta machozi na kumwambia wewe sio Tumbili, Tumbili ni wao waliotetea maovu, sasa kwa mtu kama Kafulila kuhamia CCM mpya ambayo inapapambana na maovu kosa liko wapi???? kuwa upinzani sio lazima uwe unatofautiana na utawala hata kwa jambo sahihi, ndugu tujifunze Demokrasia. Kafulila karibu CCM karibu chama Tawala Karibu utoe changamoto za kuendelea kumkomboa Mtanzania masikini asiwe mtu wa kuliwa jasho lake na wajanja wachache. Aluta Continua!!
 
..sasa alikuwa anaogopa nini kusema anahamia CCM?

..hata Lau Masha naye ilikuwa hivyohivyo.

..mtu anaulizwa zaidi ya mara 5 kama anahamia ccm lakini anakwepa kujibu.

..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.
Hao wanafiki mkuu na njaa pia inawasumbua hawakuwa wapinzani wa kweli.
 
75 BIBLICAL REASONS WHY YOU
SHOULD NOT DRINK ALCOHOL
With Darkgift 1) Genesis 9:20-26 - Noah became drunk;
the result was immorality and family
trouble.
2) Genesis 19:30-38 - Lot was so drunk
he did not know what he was doing; this
led to immorality 3) Leviticus 10:9-11 - God commanded
priests not to drink so that they could tell
the difference between the holy and the
unholy.
4) Numbers 6:3 - The Nazarites were told
to eat or drink nothing from the grape vine.
5) Deuteronomy 21:20 - A drunken son
was stubborn and rebellious.
6) Deuteronomy 29:5-6 - God gave no
grape juice to Israel nor did they have
intoxicating drink in the wilderness. 7) Deuteronomy 32:33 - Intoxicating wine
is like the poison of serpents, the cruel
venom of asps.
8) Judges 13:4, 7, 14 - Samson was to be
a Nazarite for life. His mother was told
not to drink wine or strong drink. 9) 1 Samuel 1:14-15 - Accused, Hannah
said she drank no wine.
10) 1 Samuel 25:32-38 - Nabal died after
a drunken spree.
11) 2 Samuel 11:13 - By getting Uriah
drunk, David hoped to cover his sin. 12) 2 Samuel 13:28-29 - Amnon was
drunk when he was killed.
13) 1 Kings 16:8-10 - The king was
drinking himself into drunkenness when
he was assassinated
14) 1 Kings 20:12-21 - Ben-Hadad and 32 other kings were drinking when they were
attacked and defeated by the Israelites.
15) Esther 1:5-12 - The king gave each
one all the drink he wanted. The king was
intoxicated when he commanded the
queen to come. 16) Psalm 75:8 - The Lord’s anger is
pictured as mixed wine poured out and
drunk by the wicked.
17) Proverbs 4:17 - Alcoholic drink is
called the wine of violence.
18) Proverbs 20:1 - Wine is a mocker, strong drink is raging.
19) Proverbs 23:19-20 - A wise person
will not be among the drinkers of
alcoholic beverages.
20) Proverbs 23:21 - Drunkenness causes
poverty. 21) Proverbs 23:29-30 - Drinking causes
woe, sorrow, fighting, babbling, wounds
without cause and red eyes.
22) Proverbs 23:31 - God instructs not to
look at intoxicating drinks.
23) Proverbs 23:32 - Alcoholic drinks bite like a serpent, sting like an adder.
24) Proverbs 23:33 - Alcohol causes the
drinker to have strange and adulterous
thoughts, produces willfulness, and
prevents reformation.
25) Proverbs 23:34 - Alcohol makes the drinker unstable
26) Proverbs 23:35 - Alcohol makes the
drinker insensitive to pain so he does not
perceive it as a warning. Alcohol is habit
forming.
27) Proverb 31:4-5 - Kings, Princes, and others who rule and judge must not drink
alcohol. Alcohol perverts good judgment.
28) Proverbs 31:6-7 - Strong drink could
be given to those about to perish or
those in pain. Better anesthetics are
available today. 29) Ecclesiastes 2:3 - The king tried
everything, including intoxicating drink, to
see if it satisfied. It did not. (Ecclesiastes
12:8)
30) Ecclesiastes 10:17 - A land is blessed
when its leaders do not drink. 31) Isaiah 5:11-12 - Woe to those who
get up early to drink and stay up late at
night to get drunk.
32) Isaiah 5:22 - Woe to "champion"
drinkers and "experts" at mixing drinks.
33) Isaiah 19:14 - Drunken men stagger in their vomit.
34) Isaiah 22:12-13 - The Israelites
choose to drink; their future looks
hopeless to them.
35) Isaiah 24:9 - Drinkers cannot escape
the consequences when God judges. 36) Isaiah 28:1 - God pronounces woe on
the drunkards of Ephraim.
37) Isaiah 28:3 - Proud drunkards shall be
trodden down.
38) Isaiah 28:7 - Priests and prophets
stagger and reel from beer and wine, err in vision, and stumble in judgment.
39) Isaiah 28:8 - Drinkers’ tables are
covered with vomit and filth.
40) Isaiah 56:9-12 - Drinkers seek their
own gain and expect tomorrow to be just
like today. 41) Jeremiah 35:2-14 - The Rechabites
drank no grape juice or intoxicating wine
and were blessed.
42) Ezekiel 44:21 - Again God instructed
the priests not to drink wine.
43) Daniel 1:5-17 - Daniel refused the king’s intoxicating wine and was blessed
for it along with his abstaining friends.
44) Daniel 5:1 - Belshazzar, ruler of
Babylon; led his people in drinking.
45) Daniel 5:2-3 - The king, along with his
nobles, wives, and concubines, drank from the goblets which had been taken
from God’s temple.
46) Daniel 5:4 - Drinking wine was
combined with praising false gods.
47) Daniel 5:23 - God sent word to
Belshazzar that punishment would be swift for the evil he had committed.
48) Hosea 4:11 - Intoxicating wine takes
away intelligence.
49) Hosea 7:5 - God reproves princes for
drinking.
50) Joel 1:5 - Drunkards awake to see God’s judgment.
51) Joel 3:3 - The enemy is judged for
selling girls for wine.
52) Amos 2:8 - Unrighteous acts of Israel
included the drinking of wine which had
been taken for the payment of fines. 53) Amos 2:12 - Israel is condemned for
forcing Nazarites to drink wine.
54) Micah 2:11 - Israelites are eager to
follow false teachers who prophesy
plenty of intoxicating drinks.
55) Nahum 1:10 - The drunkards of Nineveh will be destroyed by God.
56) Habakkuk 2:5 - A man is betrayed by
wine.
57) Habakkuk 2:15 - Woe to him that
gives his neighbor drink.
58) Habakkuk 2:16 - Drinking leads to shame.
59) Matthew 24:48-51 - A drinking
servant is unprepared for his Lord’s
return.
60) Luke 1:15 - John the Baptist drank
neither grape juice nor wine. 61) Luke 12:45 - Christ warned against
drunkenness.
62) Luke 21:34 - Drunkenness will cause
a person not to be ready for the Lord’s
return.
63) Romans 13:13 - Do not walk in drunkenness or immorality.
64) Romans 14:21 - Do not do anything
that will hurt your testimony as a believer.
65) 1 Corinthians 5:11 - If a Christian
brother is a drinker, do not associate with
him. 66) 1 Corinthians 6:10 - Drunkards will
not inherit the kingdom of God
67) Galatians 5:21 - Acts of the sinful
nature, such as drunkenness, will prohibit
a person from inheriting the kingdom of
God. 68) Ephesians 5:18 - In contrast to being
drunk with wine, the believer is to be
filled with the Spirit.
69) 1 Thessalonians 5:6-7 - Christians
are to be alert and self-controlled,
belonging to the day. Drunkards belong to the night and darkness.
70) 1 Timothy 3:2-3 - Bishops (elders) are
to be temperate, sober, and not near any
wine.
71) 1 Timothy 3:8 - Deacons are to be
worthy of respect and not drinkers. 72) 1 Timothy 3:11 - Deacons’ wives are
to be temperate and sober.
73) Titus 1:7-8 - An overseer is to be
disciplined.
74) Titus 2:2-3 - The older men and older
women of the church are to be temperate and not addicted to wine.
75) 1 Peter 4:3-4 - The past life of
drunkenness and carousing has no place
in the Christian’s life.
NO DRUNKARD SHALL INHERIT THE
KINGDOM OF GOD 1 COR 6,10. God Loves you
Kama unajua kusoma utagundua aya zote hizo zinakataza ulevi (drunkardness). Kuna tofauti kati ya unywaji na ulevi. Tupo tunaojua kunywa bila kulewa. Na zipo aya zinazounga mkono unywaji.
 
Back
Top Bottom