mkuu Junior 2
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 282
- 201
Makojozi zimemtoka kwa mwenzie kishoa
kweli mkuu, nmekutana na mbunge wetu mstaafu nmemuonea huruma, kachoka sana kimaisha na kimuonekanoUsiingie kwenye siasa mkuu, Mbaya sana hawa wabunge wetu wakishamaliza ubunge ni kama mashetani wanakuwa maskini sana sijui ni laana ya matambiko na madawa ya kienyeji wanayokunywa kipind cha uchaguz, Huyo ni njaa inamsumbua analishwa na mkewe na sasa mkewe yupo dodoma anashughulikiwa na wanaume
Huwa unamnunulia ww chakula?alishawahi kukuomba hela hata siku moja? Pambana na hali yako jombaa
Mbona kahama kichwa peke yake au ni macho yangu?David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Huyu Zitto anataka akienda CCM ateuliwe kugombea Urais wa nchi.Bado Zitto Kabwe tu.....
Hata wewe iko siku utahama tu, bado wakubwa wa chama hawajakuonesha kuwa huna thamani yoyote kwenye chamaKeki ya wanafiki, wasaliti na wachumia tumbo wa Taifa letu.
Hata wewe iko siku utahama tu, bado wakubwa wa chama hawajakuonesha kuwa huna thamani yoyote kwenye chama
Wanasiasa wote wako hivyo hivyo mbona ni kawaida tu.Mtu anaulizwa mara mbili mbili unaenda sisiem anajikanyaga kanyaga ni dhahiri hawajiamini na maamuzi yao.
Habari yako Mkuu!Acha kujibaraguza kama unanifahamu mimi weye! Mie Chadema sipo kwa kufuata senti hata moja bali ni mapenzi yangu tu na asilimia kubwa ya waliopo Chadema ni mapenzi yao na nchi yao si wachumia tumbo kama hao wanaohaha huku na kule kila kukicha.
ccm utaipenda tu hata Kafulila alisema hivi hiviAcha kujibaraguza kama unanifahamu mimi weye! Mie Chadema sipo kwa kufuata senti hata moja bali ni mapenzi yangu tu na asilimia kubwa ya waliopo Chadema ni mapenzi yao na nchi yao si wachumia tumbo kama hao wanaohaha huku na kule kila kukicha.