kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,234
- 9,506
Unatakiwa kushtakiwa kwa uchocheziMbowe mtoto wa mjini kamfanyia udukuzi mbatia............
Unatakiwa kushtakiwa kwa uchocheziMbowe mtoto wa mjini kamfanyia udukuzi mbatia............
Sawa sasa mshaurini Mbatia ahamishe chama kije kwenu, ila msinyofoe wana chama wake.Ukawa sio chama cha siasa
Tunahitaji chama kimoja kikuu cha upinzani
Kiafrika mhhhhhhhhhhhNyie si ndiyo waraghibishi wa hamsini kwa hamsini unashangaa nini sasa. Kama Kafulila anatunzwa na mkewe ambaye si dada ama mama yako tatizo lipo wapi?
Mpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?
Msihamishe watu vyumbani bomoeni kuta zinazo tenganisha vyumba muwe na ukumbi mmoja mkubwa.Alichokifanya ni kutoka Chumba A na kuhamia Chumba B,
MSHAWISHINI KAMA LIPUMBAhahahaha mbuzi kala mkeka....Mbatia chalii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Mpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?
Ukitegemea hawa watu walete mabadiliko katika hii nchi, sahau mkuu, watu wanazunguka tu vyumbani.Siasa zetu ndivyo zilivyo nothing new.
maana yake tunataka tuwe na vyama viwili vikubwa vya upinzani kama ilivyo marekaniHii maana yake nini kwa siasa za bongo?
unayumba yumba sana,jikite kwenye hoja. Hakikisha kabla kuchangia hutumii viminika au mosho wenye ulevi dogo.Ni sawa na mpango wa ccm kuangamiza Taifa kwa kukiuka katiba yetu ila sijui kama tutafanikiwa maana wananchi wako macho
Mkewe ndio naniKaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Nimecheka tu!UKAWA wameanza kuchukuliana Wachezaji!
Bavicha bhana, yaani mnasapoti kuwaua wenzenu.Ukawa sio chama cha siasa, 2020 tunahitaji chama kimoja kikuu cha upinzani kuiondoa ccm
hivi hawa ng'ombe ccm kwa nn mbowe na lowasa hawatoki kwenye vinywa vyao wkt wamefungwa midomo na ccm na kuwadhibiti. Sasa wanatishika na nn? Kwa nn uogope kitu ambacho hakitishi na umeshakidhibiti? Alafu kuhama kafulila ni wivu wa kike unawasumbua. Mbona machali amehama lowasa akiwa mgonjwa lkn pia wanaccm waliosema atakufa wamekufa waoRekebisho kidogo, David Kafulila hajahamia Chadema, bali amerejea Chadema, NCCR Mageuzi ndio alihamia na sasa amerejea nyumbani, ataisaidia sana Chadema kuziba pengo la ZZK kama ata team up na JJ. Mnyika. Kafulila is good so does JJMNYIKA na wengine wachache. Pengo la ZZK ndani ya Chadema halijazibwa so does pengo la Dr.Slaa, na Bavicha ya sasa haina big impact so does Bawacha.
Mimi kama ningekuwa mshauri wa Chadema ningemshauri Mbowe his time it's time up. Ameifanyia Chadema mengi na makubwa but amefikia optimum take. Kama night solution, it is a saturated solution, it can take no more than it can.
Chama makini kinatakiwa kuanza jana kujipanga kwa kesho, kwa uchaguzi wa 2020 hata yule jamaa yangu atakuwa ni spent force unless Chadema imeridhika kuendelea kuwa msindikizaji tuu na sio mshindani.
Hongera sana Kafulila, welcome back home kwako ulikotoka na kugeuka mwana mpotevu aliyerejea nyumbani kwa baba take.
Paskali
Kwa maana hiyo unataka kusema Dr. Tuliza Ackson hafai kuolewa au atakayemuoa atakuwa Bwege?Kiafrika mhhhhhhhhhhh