David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

Kafulila alikuwa mahali ambako sio penyewe, uwezo wake ulijengwa na CDM na alikokimbilia hakuwa na nafasi ya kuonwesha uwezo alio nao. na jinsi CDM ilivyo na nguvu kama angegombea kwa tiketi ya CDM asingeshindwa. anahitaji mahali penye nguvu kama za kwake. ni lazima tukiri kwamba chama kama hakina nguvu ni hakina nguvu huwezi kukilazimisha na ndio maana system inatumia nguvu kubwa sana kupambana na chama kama CDM. kafulila anarudi Bungeni 2020,
Ajitathimini na aache utoto..
 
Njaa ndo habari ya hama hama inatakiwa tubane matumizi hata hiyo ruzuku ya (UKAWA) tuone itajenga UKUTA gani kwa nini tugalamie vitu vinavyoleta vurugu. Ameona NCCR Mageuzi hakuna ruzuku kakulipana posho kienyeji.
 
Hiyo inaitwa kula kulala kwa mke.Njaa mbaya.Hakuna kazi ngumu kwa mwanamke kama kazi ya kulisha dume.Pole sana mama kafulila zigo hilo unalo.
embu acheni kejeli magamba kwani kabla ya ubunge kafulila alikiwa hana maisha au mnafkiri kila mtu anategemea siasa ili kula. Hvi hujui mwenzako ni msomi wa maana tu mwenye elimu na CV iliyoshiba katika umri wake mdogo so usitegemee kalala nyumbani tuu hajishughulishi hizo ni fikra potofu..... hta mke wake kishoa ana elimu ya kutosha kabisa kuajiriwa kokote pale so kma wwe hukubahatika kusoma na unategemea chama ndio kikulishe usifkiri wapenda mabadiliko na wenyewe ni mategemezi kama wwe. Fanya kazi mkuu ndio utagundua kuna maisha nje ya chama usiishie kuwa kama wassira.
 
Amerekebisha kile walichumtimulia kipindi kile?

------------
Alisema (Kafulila) kwenye Majira Nov 8 na Mwananchi Nov 9 kuwa Mbowe na Dr Slaa wamefanya kikao kisicho rasmi cha Gheto huko Dodoma na kufikia maamuzi ya kumvua uanachama. Akaitwa na sekretariati ya chama kuhojiwa akakiri kwamba kweli amesema maneno hayo. Akaambiwa athibitishe kuwa kikao cha Dodoma kilijadili kumfukuza uanachama akasema hana ushahidi wowote ila ameelezwa maneno hayo na waandishi wa habari. Akaambiwa akanushe maneno yake, akakataa. Akaambiwa aombe msamaha, akakataa. Uteuzi wake ukatenguliwa kutokana na kukiuka maadili ya chama kifungu cha 10 kinachokataza viongozi kutoa siri za chama, kuzingatia mipaka ya kimamlaka katika kutoa kauli za chama, kuepuka kuwatuhumu viongozi wengine hadharani bila kupitia vikao halali vya chama na kuacha kutoa tuhuma za uongo

serayamajimbo
David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA


Sitashangaa CHADEMA wakimpokea kwa sababu hata Lowassa alikubaliwa kuchukua chama. Huyu Kafulila alihusika sana kumkashifu Mbowe na Dr. Slaa lengo likiwa kumpigia debe Zitto ili achukue nafasi ya juu kwenye CHADEMA. Alifikia kiasi cha kuita maandamano Dar kuwapinga hao viongozi wakati wakiwa kwenye kampeni za uchaguzi mdogo kuziba nafasi iliyoachwa na marehemu Wangwe. Tena Kafulila ni miongoni mwa watu waliotaka kuaminisha umma kuwa hao viongozi wa juu wa CHADEMA ndio waliopanga kifo cha Wangwe. Sasa leo kusikia kuwa Kafulila anakwenda CHADEMA na anakubaliwa hapo kweli sipati picha. Ila kwa kina Mbowe ambao walimkabidhi Lowassa chama na sasa wako bega kwa bega sishangai sana.
 
Sitashangaa CHADEMA wakimpokea kwa sababu hata Lowassa alikubaliwa kuchukua chama. Huyu Kafulila alihusika sana kumkashifu Mbowe na Dr. Slaa lengo likiwa kumpigia debe Zitto ili achukue nafasi ya juu kwenye CHADEMA. Alifikia kiasi cha kuita maandamano Dar kuwapinga hao viongozi wakati wakiwa kwenye kampeni za uchaguzi mdogo kuziba nafasi iliyoachwa na marehemu Wangwe. Tena Kafulila ni miongoni mwa watu waliotaka kuaminisha umma kuwa hao viongozi wa juu wa CHADEMA ndio waliopanga kifo cha Wangwe. Sasa leo kusikia kuwa Kafulila anakwenda CHADEMA na anakubaliwa hapo kweli sipati picha. Ila kwa kina Mbowe ambao walimkabidhi Lowassa chama na sasa wako bega kwa bega sishangai sana.
labda nikueleweshe mkuu as they say politcis has no permanet enemy or friend but it has permanent interests. So inawezekana kweli walihitilafiana lakini je permanent interest yao ni ipi.?? wote ni wapinzani na aim ya kwanza ni kuitoa ccm no wonder cuf na chadema tulikuwa na utofauti sana ila kwakuwa tulijua tunatumikia maslahi mapana ya taifa ikabidi tuweke tofauti zetu pembeni ili tuweze kumuangusha common enemy ccm.... so kama kweli tunataka kumtoa ccm ni lazima vyama viungane let alone kushirikiana. ikiwezekana tuue vyama vyetu tuanzishe chama kimoja tu hii itasaidia kupunguza kura kugawanyika. Kwa ufupi sioni shida kma mtu kaamua kurudi alipotoka if at all ameweka magomvi yake na mbowe pembeni kwa maslahi mapana ya taifa coz hta chadema walisimama naye sana toka kampeni mpaka issue ya escrow hadi kesi yake mahakamani so naamini wameshazika tofauti zao kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa.
hope umeelewa mkuu
 
Njaa ndo habari ya msingi amefuata ruzuku ya CHADEMA wakalipane kaposho kule alikotoka ruzuku ni shida. Anakwenda kulipana posho ya budget ya salio la UKUTA ulioyeyuka. Salio liliobaki la UKUTA ambalolingenunulia vijana viroba na kuingia barabarani liko wapi?
 
kuimalisha safu ya mashambulizi..tunasajiri wachezaji toka ndani.
 
Rekebisho kidogo, David Kafulila hajahamia Chadema, bali amerejea Chadema, NCCR Mageuzi ndio alihamia na sasa amerejea nyumbani, ataisaidia sana Chadema kuziba pengo la ZZK kama ata team up na JJ. Mnyika. Kafulila is good so does JJMNYIKA na wengine wachache. Pengo la ZZK ndani ya Chadema halijazibwa so does pengo la Dr.Slaa, na Bavicha ya sasa haina big impact so does Bawacha.

Mimi kama ningekuwa mshauri wa Chadema ningemshauri Mbowe his time it's time up. Ameifanyia Chadema mengi na makubwa but amefikia optimum take. Kama night solution, it is a saturated solution, it can take no more than it can.

Chama makini kinatakiwa kuanza jana kujipanga kwa kesho, kwa uchaguzi wa 2020 hata yule jamaa yangu atakuwa ni spent force unless Chadema imeridhika kuendelea kuwa msindikizaji tuu na sio mshindani.

Hongera sana Kafulila, welcome back home kwako ulikotoka na kugeuka mwana mpotevu aliyerejea nyumbani kwa baba take.

Paskali
Mkuu washauri mh/ mw/kiti mbowe aachie ngazi ..... naona wauwasha moto kwa kuigusa mboni ya jicho .....
 
Back
Top Bottom