David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

naona kwa mbalii Mamvi na Kingunge wanachanga karata zao. Lengo kuuwa cuf, nccr, act na kutengeneza chama kimoja cha upinzani chenye nguvu. Taadhali wajue tu kwamba CCM ni chama dola, ni zaidi ya chama cha siasa. Kukiwa na chama kimoja cha upinzani chenye nguvu kazi ni rahisi sana kwa CCM ku deal nacho.
Nitajie vyama vingine vya upinzani vyenye wadau wengi ambacho sio pandikizi la siem
 
Mimi kama ningekuwa mshauri wa Chadema ningemshauri Mbowe his time it's time up. Ameifanyia Chadema mengi na makubwa but amefikia optimum take. Kama night solution, it is a saturated solution, it can take no more than it can.

Chama makini kinatakiwa kuanza jana kujipanga kwa kesho, kwa uchaguzi wa 2020 hata yule jamaa yangu atakuwa ni spent force unless Chadema imeridhika kuendelea kuwa msindikizaji tuu na sio mshindani.

Paskali
Hili ndio kila siku huwa nasubiri walifanye
Japo najua watakupinga sana lakini hii ni bonge ya point.
Kama kawaida yako Pascal big up
 
Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.

Kafulila alithibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo.

“Nimewashukuru kwa kuwa pamoja katika kujenga chama na nafasi ya uenezi waliyonipa mara zote. Nimeweka wazi kuwa natarajia kujiunga na Chadema. Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.” alisema

View attachment 446944

SOURCE: Mwananchi
Hivi mke wake nae si mbunge wa viti maalumu huko CDM?
 
UKAWA wameanza kuchukuliana Wachezaji!

Mbowe mtoto wa mjini kamfanyia udukuzi mbatia............

Bado Seif na wapemba wenzake, mpaka Mbatia anyooke daadeki.
Chadema na nccr wote wako ukawa ila kahama nccr, ndo wenye akili kama Lipumba walishtuka.

Mpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?

hahahaha lengo la chadema ni kuviua CUF na NCCR
Akili za shisha hizi, mbona Juma duni Haji karudi Cuf? Mpendazoebna nusu mkia ccm? Je Afande sele? Wapi Habib Mchange?
 
Akili za shisha hizi, mbona Juma duni Haji karudi Cuf? Mpendazoebna nusu mkia ccm? Je Afande sele? Wapi Habib Mchange?

Mikunduzi yenu akili matope.

Usipanik huu Mchezo hauhitaji hasira!
Kafulila kabakiza kwenda ACT na kurudisha Mpira kwa Kipa CCM kukamilisha Mzunguko
 
Huwezi kuwekeza fedha zako kwenye benki kama twiga bancorp. Hivyo ameeleweka
 
Akili za shisha hizi, mbona Juma duni Haji karudi Cuf? Mpendazoebna nusu mkia ccm? Je Afande sele? Wapi Habib Mchange?

Mikunduzi yenu akili matope.
Akili na hoja kuu ya chadema ni matusi,hivi kama wewe mmeo atakuwa anakupiga mara kwa mara. huwezi kutoa hoja hadi utukane?
 
Naona Lumumba Leo wamejaa hapa balaa, kwenye ishu Melo wote kimya wakitafakari ushenzi wanaomfanyia [HASHTAG]#maxence melo.[/HASHTAG]
 
Bado Seif na wapemba wenzake, mpaka Mbatia anyooke daadeki.
Chadema na nccr wote wako ukawa ila kahama nccr, ndo wenye akili kama Lipumba walishtuka.
Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 ccm walimsimamisha Benjamini Mkapa, Chadema waliunga mkono mgombea wa CUF wakati huo alikua huyo jamaa yako hapo kwenye bold, NCCR-Mageuzi walimsimamisha Dr. Mvungi, now kwenye kampeni zile mgombea wa ccm alitamka kua maprofesa wengine ni maprofesa uchwara so sikumwelewa ana maana gani though prefesa alikua anashindana nae alikua mmoja tu, sijui ndio alikua anamtaja yeye au vipi? Kwa mbaaaali naanza kumuelewa Benja. Halafu sorry, one more thing; sijui na wewe nikuweke kwenye kundi hilo hilo!?
 
Back
Top Bottom