Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 39,981
- 51,083
Alichokifanya ni kutoka Chumba A na kuhamia Chumba B,Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!