Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
HONGERA MAMA DAVID KAFULILA (Mhe. Jesca Kishoa mb)
Inawezekana kabisaa pasipo shaka Mhe. David Kafulila ukawa umeshawishiwa na Mkeo kuhamia Chadema chama chetu cha zamani ambacho mkeo ni mbunge wake. Kama ndivyo basi napenda kutumia fursa hii kumpongeza Mkeo Mhe Jesca Kishoa Mbunge kwa kukuweka mtu kati hadi ukaamua kurejea mahala ambapo kwa miaka mingi tangu 2009 ukisema sana kwa nyakati tofauti kwamba CDM hawaaminiki, hawafai na hawana shukrani. Pole na hongera kwa uamuzi huo. Vilevile hongereni sana akina mama kwani kupitia Mhe Jesca Kishoa imedhihirika kwamba mna nguvu hadi Mhe David Kafulila Kasarenda misimamo yake. Hongereni sana akina mama, ni wazi mna nguvu na mnaweza kuhamisha hata milima na visiki vya kila aina. Mhe Kafulila Kila laheri kwa kusarenda misimamo yako na Kila laheri ktk kuanza Maisha Mapya na ni haki yako kikatiba. Msalimie sana Shemeji yetu na watoto bila kusahau makamanda. Kwa mala nyingine hongereni akina Mama.
16/12/2016

mfano gani huu unaleta?