mna tengeneza umoja usio na balance, na mkisha kuwa hivo ni bora mumshauri na Mbatia amaliziea aje CDMTuchukukie mfano una nyumba kubwa yenye vyumba vingi (UKAWA)...
Kwanini ulale chumba kimoja miaka yote?
Kuna ubaya kuhamia chumba kingine ndani ya nyumba hiyohiyo moja?
Au tuchukulie mfano nyumbani kwako unakaa na wanawake watatu.. Mkeo, mdada wa kazi na mdogo wake mkeo!
Kuna haja gani kila siku ulale chumbani kwako tu wakati nyumba ina vyumba vingi![]()
![]()
mfano gani huu unaleta?
Huu umoja wa kufanyiana udukuzi....yani Mbowe kamvizia Mbatia anaumwa kamfanyia udakuzi juu kwa juu,, noma sana
Hapo nio utakuwa mwisho wa upinzani...kutawaka moto...mafia wa kaskazini na mafia wa Pemba hapatatosha.Baadae CCM watajuta kwanini wameunda mgogoro ndani ya CUF maana CUF (ya <Maalim Seif) ikihamia CHADEMA, mchezo wa bao utakuwa umeisha. Ukichanganya nguvu ya CUF ZNZ na CHADEMA Bara, utamu unakolea!
Rekebisho kidogo, David Kafulila hajahamia Chadema, bali amerejea Chadema, NCCR Mageuzi ndio alihamia na sasa amerejea nyumbani, ataisaidia sana Chadema kuziba pengo la ZZK kama ata team up na JJ. Mnyika. Kafulila is good so does JJMNYIKA na wengine wachache. Pengo la ZZK ndani ya Chadema halijazibwa so does pengo la Dr.Slaa, na Bavicha ya sasa haina big impact so does Bawacha.Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.
Kafulila alithibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo.
“Nimewashukuru kwa kuwa pamoja katika kujenga chama na nafasi ya uenezi waliyonipa mara zote. Nimeweka wazi kuwa natarajia kujiunga na Chadema. Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.” alisema
View attachment 446944
SOURCE: Mwananchi

Sio kuviua bali ni kuunganisha nguvuhahahaha lengo la chadema ni kuviua CUF na NCCR
Inatakiwa wafanye hivoBaadae CCM watajuta kwanini wameunda mgogoro ndani ya CUF maana CUF (ya <Maalim Seif) ikihamia CHADEMA, mchezo wa bao utakuwa umeisha. Ukichanganya nguvu ya CUF ZNZ na CHADEMA Bara, utamu unakolea!
we hushangai watu wachafu km chenge na tibaijuka ambao hawanafaida yotote kwa taifa wanapata ubunge lkn mtu wa maana km Kafurila anakosa nafasi ambaye ilitakiwa hata awe waziri mkuu? Lazima atafute atakako kutana na watz wanaojielewa na kuelewa mchango wake kwa taifa.....Eti hana kazi hujielewi ww dogoKahamia kwa mkewe si unajua mkewe ni mbunge wa viti maalumu Chadema.Mama akiwa na kazi au nyumba mwanaume Ukawa huna kazi au nyumba kuhamia kwa mke ili maisha yaendelee si kitu cha ajabu.Na kila ukiamka huko ulikohamia lazima kila asubuhi umwamkie mke Shikamoo mke wangu maana ndie anakuweka mjini.
umekaribisha nyumbani kwake? wewe ni mwenyeji wa huko?Hongera sana Kafulila, welcome back home kwako ulikotoka na kugeuka mwana mpotevu aliyerejea nyumbani kwa baba take
Hapa utaishia kutukanwa matusi lakini ndio ukweli.Mimi kama ningekuwa mshauri wa Chadema ningemshauri Mbowe his time it's time up. Ameifanyia Chadema mengi na makubwa but amefikia optimum take. Kama night solution, it is a saturated solution, it can take no more than it can.
Mhh raisi wa mioyo yao? kweli?Chama makini kinatakiwa kuanza jana kujipanga kwa kesho, kwa uchaguzi wa 2020 hata yule jamaa yangu atakuwa ni spent force unless Chadema imeridhika kuendelea kuwa msindikizaji tuu na sio mshindani
Alitoka Mrema NCCR-Mageuzi haikubomoka itakuwa akitoka Kafulila? Nyie wabomoaji huwa mnadhani watu fulani fulani wakitoka vyama vya upinzani vitakufa.Kwanini chadema inaibomoa NCCR?
hahahhahahahaSisimizi karudi Chadema!!

hahahhahahahaSisimizi karudi Chadema!!