David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

Nafurahi kusikia habari mzuri kama hii naimani naye amefanya maamuzi sahihi
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.

Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Ukawa sio chama cha siasa
Tunahitaji chama kimoja kikuu cha upinzani
 
naona kwa mbalii Mamvi na Kingunge wanachanga karata zao. Lengo kuuwa cuf, nccr, act na kutengeneza chama kimoja cha upinzani chenye nguvu. Taadhali wajue tu kwamba CCM ni chama dola, ni zaidi ya chama cha siasa. Kukiwa na chama kimoja cha upinzani chenye nguvu kazi ni rahisi sana kwa CCM ku deal nacho.
Ndugu, kama una id ya Yahaya Jameh naomba umcopy akufafanulie upungufu wa maneno yako!
 
Ukawa sio chama cha siasa, 2020 tunahitaji chama kimoja kikuu cha upinzani kuiondoa ccm
Hahahahah Chadema Mungu ana waona ujue! Mbatia ana umwa nyie mnafanya usajili!!

Bado Seif na wapemba wenzake, mpaka Mbatia anyooke daadeki.
Chadema na nccr wote wako ukawa ila kahama nccr, ndo wenye akili kama Lipumba walishtuka.

Mbatia naye anakuja, Maalimu naye huko mtabaki na propesa

Mpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?

Watakwambia Ukawa ipo pale pale! Huku wanachukuliana wachezaji
 
Back
Top Bottom