Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,603
- 14,834
Katika muktadha upiNdiyo
Katika muktadha upiNdiyo
Umekua mtu wa vitisho siku hizi.Mi narudia Tena, Mnao watafuta ndugu zenu hili sio jipya sana ila nawakumbusha tu
👉Baadhi wamefichwa kwenye vituo vya polisi vilivyo mbali na mikoa yenu
👉Baadhi wamesha uwawa (poleni) na wanaendelea kuwa maliza, na nivijana wadogo wadogo sana!
👉 Jipya ni nawakumbusha pia, kuna mtu Yuko mahakamani amesha ambiwa sana akubaliane na mfumo lakini AMEKUWA MBISHI, mwambieni Hawa jamaa hawana haya, kama mnadhani wanaogopa kufanya ilo wanalotaka kufanya, shuhudieni watalifanya live!!
Hawana uoga Tena! Na wamedhamiria kufanya!! Achange karata zake vizuri hawatanii Hawa watu fuse zisha kata!!
Siku hizi presha iko juu,Mi narudia Tena, Mnao watafuta ndugu zenu hili sio jipya sana ila nawakumbusha tu
👉Baadhi wamefichwa kwenye vituo vya polisi vilivyo mbali na mikoa yenu
👉Baadhi wamesha uwawa (poleni) na wanaendelea kuwa maliza, na nivijana wadogo wadogo sana!
👉 Jipya ni nawakumbusha pia, kuna mtu Yuko mahakamani amesha ambiwa sana akubaliane na mfumo lakini AMEKUWA MBISHI, mwambieni Hawa jamaa hawana haya, kama mnadhani wanaogopa kufanya ilo wanalotaka kufanya, shuhudieni watalifanya live!!
Hawana uoga Tena! Na wamedhamiria kufanya!! Achange karata zake vizuri hawatanii Hawa watu fuse zisha kata!!
Una maanisha nini kumwambia hivo kwamba yeye ndio yule mnae mtuhumu kuwa tuma ma slayer kuslaying maraia wa kitaa...kwa manati ta mzungu au ?Siku hizi presha iko juu,
Vyakula unakula vya kuchangua,
Na hutaki kupikiwa na na watu wa......
Nyota kubwa inaenda kuzimika na nyota dogo kuwa kubwa
Acheni kuchawia viongozi wenuNimeota Mzenjibar amekufwa
Tulichelewa sana kumshtukia 😀Kwenye akili ya kawaida nani hajui kuwa hao waliotrkwa October 29 hawawezi tena kuonekana?
Kuhusu lissu napo bado hujaandika jipya, Kama waliweza kumshambulia kwa risasi zaidi ya 30 mchana kweupe, watashindwa vipi kumfanyia jambo lingine lolote? Nani hajui kuwa hawa watu hawana haya?
Haya ndio ulikua ukiwaambia watu mwaka mzima wasubiri unakuja na mafile?
Tena mmiliki wa ID ya TUJITEGEMEE yogani mtu mmoja au wako ofisi mojaNinachokiona hapa mwisho wa siku yoga ataachana na hii post yake maana comment za wadau zimejaa makasiriko na mizodoano zaidi
Hatutasonga mbele mpka wahuni watuachie Tanganyika yetu.Kazi na utu,tusonge mbele!!
Hatutasonga mbele mpka wahuni watuachie Tanganyika yetu.
Kesi za ICC haziendeshwi kama Dawati la jinsia la wilaya.ICC imeishia wapi ?