Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Wengi wa vijana waliopotea kuanzia tarehe 29 kama hamja wai kuwaona ua kujua walipo..........

Nawahakikishia hapa hamto wai waona Tena ,

Maana wenye mpini na makali wameamua kuwa teketeza!!
Huko waliko!!

Alamsiki!!

Kwa sasa jiepusheni kuwakera,

Kuna nchi Ina ongozwa na kikundi
 
Je kuna jambo zito linakuja hivi miezi michache? au tuendelee kungojea mpaka 30, maana ulisema kwenye nyuzi zako zilizopita kwamba kuna mambo yatatokea na BT ana tape ya matukio mbalimbali ambayo kama ikiachiliwa inaweza ikatia doa kampuni !!
 
Wengi wa vijana waliopotea kuanzia tarehe 29 kama hamja wai kuwaona ua kujua walipo..........

Nawahakikishia hapa hamto wai waona Tena ,

Maana wenye mpini na makali wameamua kuwa teketeza!!
Huko waliko!!

Alamsiki!!

Kwa sasa jiepusheni kuwakera,

Kuna nchi Ina ongozwa na kikundi
huo ukurasa ushafungwa -
 
Very cheap hii. Hata jembe langu la miaka mitatu tuu hii anaijua.
 
Mi narudia Tena, Mnao watafuta ndugu zenu hili sio jipya sana ila nawakumbusha tu

👉Baadhi wamefichwa kwenye vituo vya polisi vilivyo mbali na mikoa yenu

👉Baadhi wamesha uwawa (poleni) na wanaendelea kuwa maliza, na nivijana wadogo wadogo sana!

👉 Jipya ni nawakumbusha pia, kuna mtu Yuko mahakamani amesha ambiwa sana akubaliane na mfumo lakini AMEKUWA MBISHI, mwambieni Hawa jamaa hawana haya, kama mnadhani wanaogopa kufanya ilo wanalotaka kufanya, shuhudieni watalifanya live!!

Hawana uoga Tena! Na wamedhamiria kufanya!! Achange karata zake vizuri hawatanii Hawa watu fuse zisha kata!!
 
Kwenye akili ya kawaida nani hajui kuwa hao waliotrkwa October 29 hawawezi tena kuonekana?

Kuhusu lissu napo bado hujaandika jipya, Kama waliweza kumshambulia kwa risasi zaidi ya 30 mchana kweupe, watashindwa vipi kumfanyia jambo lingine lolote? Nani hajui kuwa hawa watu hawana haya?

Haya ndio ulikua ukiwaambia watu mwaka mzima wasubiri unakuja na mafile?
 
Very cheap hii. Hata jembe langu la miaka mitatu tuu hii anaijua.
Yoga amekua tapeli. Nani hajui kuwa waliotekwa October 29 hawataonekana tena? Kama waliweza kumimina rrisasi vile, itakua ugumu gani kuwamaliza huko walipowapeleka?

Nani hajui kuwa hawa watawala ukiwakera unapotezwa?

Anaandika vitu ambavyo kila mtu anajua
 
Mi narudia Tena, Mnao watafuta ndugu zenu hili sio jipya sana ila nawakumbusha tu

👉Baadhi wamefichwa kwenye vituo vya polisi vilivyo mbali na mikoa yenu

👉Baadhi wamesha uwawa (poleni) na wanaendelea kuwa maliza, na nivijana wadogo wadogo sana!

👉 Jipya ni nawakumbusha pia, kuna mtu Yuko mahakamani amesha ambiwa sana akubaliane na mfumo lakini AMEKUWA MBISHI, mwambieni Hawa jamaa hawana haya, kama mnadhani wanaogopa kufanya ilo wanalotaka kufanya, shuhudieni watalifanya live!!

Hawana uoga Tena! Na wamedhamiria kufanya!! Achange karata zake vizuri hawatanii Hawa watu fuse zisha kata!!
huna jipya tena ?
 
Back
Top Bottom