brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 938
- 1,382
Babu ngasoma ?? Mso.... /Godfather ??Ukiishi vizuri na Watu utakuwa salama na kupata ulinzi wa kuaminika.
Babu wa Ngasom, chakula hataki kupikiwa na yeyote yule zaidi ya mke na watoto, si walikuwa wakimcheka Jiwe kupikiwa na mkewe,
Halafu imekuwaje yule Bibi wa mipasho moyo wake umetanuka, presha juu juu, vyakula anakula vya kuchangua kwa torch, hata akisimama kwenye microphone akiwa anaongea anahema balaa,