woodpecker24
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 202
- 292
š¤£š¤£š¤£š
Fafanua hapo ankali!Kumeanza kupambazukaššš
Tafsiri yake? Au hii sio code. šKumeanza kupambazukaššš
Leo nimemwona kuna vitu anapost bila uhalisiaRecho Dangwa anazidi kuumbua hadithi ya Yoga (yoga ni project ya JK)
Sjida matusi tuLeo nimemwona kuna vitu anapost bila uhalisia
Uhalisia kivipi?Leo nimemwona kuna vitu anapost bila uhalisia
Yoga kaishamaliza project ya kupoteza wale kwa kuwalisha ndoanoyoga wameku challenge kidogo tu umekimbia uzi?
Mtumishi nakusalimiaSjida matusi tu
Ila vina uhalisia sn tu
Sawa Yoga wa kuchemsha wa kulipia kidogokidogoJikoni kwa moto, maza hausi anaitaka talaka kwa nguvu, amechoka masimango ya wanafamilia.
Kwakweli niko mzimaMtumishi nakusalimia
Hahahaha umejuaje kama Niko zenji? Tunazindua Leo ,jioni nikacheki Mpira, MAPINDUZI CUPKwakweli niko mzima
Happy new year from zenj
Hahaaa
Hahaaa kumbe upo huko piaHahahaha umejuaje kama Niko zenji? Tunazindua Leo ,jioni nikacheki Mpira, MAPINDUZI CUP
Vzr ,mie bado Niko sana hukuHahaaa kumbe upo huko pia
mi nilikuja holiday
Since Christmas kesho boat ya adubuhi narudi