Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Chaos isn't a pit..Chaos is ladder..Many who try to climb it fail..Never get to try again..The fall breaks them,and some are given a chance to climb..,but they refuse cling to the realm..,For gods,for love illusions..only ladder is real..The climb is all there....
 
yoga Ema nmbichi mbona yuko down sana akat nch ipo kwenye manjegeka kibao vp au ndio imepangwa hvyoo strategically …. coz yule bwana akili ni mingi kuliko boss wake na vp hukusu kikoz kaz sikinaweza rukanaye pandre aliye ogelea bwawa la maji ya kunywa.au saiv pander ana guardian wa kiitaliano ..maana sio kwa confidence ile akat mambo yalianza ku settle kwa mbaali
 
Je KJ+RA wanatumiwa na mashirika ya kijasusi ya nje kuichafua na kuingawanya nchi ili, wafaransa, Wamarekani, Waarabu, Warusi, Waingereza wafanye uporaji wa rasilimali za nchi kiulani bila bughdha yoyote au?
Hao watu hawahitaji hayo machafuko kuja kuchota rasilimali wakitaka watazipata hasa kwa uwepo wa hawa viongozi vilaza
 
Hao watu hawahitaji hayo machafuko kuja kuchota rasilimali wakitaka watazipata hasa kwa uwepo wa hawa viongozi vilaza
Inakuwaje kwenye Sehemu zenye rasilimali huwa kuna kuwa na waasi, vita na mapambano ya kila aina, angalia Sudan ya Khartoum, kundi moja ana fadhili Marekani, kundi la pili Saudi Arabia anafadhili, wanapiganishwa, huku hao mabwana zao wakichukua rasilimali za Wasudan kiulani
 
Nchi ilipofika ,kama yupo wa kuawasaidia wananchi hawa wa tz , kutoka na kulitoa tz hapa tulipo hata akitaka kisiwa mojawapo ndani ya nchi apewe tu ,

Tunauzwa kimia kimia kama ngedere ,si bora iwe wazi sasa kwamba uyu anatusaidia tutampa ichi tukifanikiwa ili ondokana na ukoloni huu wa kipumbavu
 
Back
Top Bottom